Msaada: Nataka kupika mlenda, nitafute vitu gani?

.....hahahahaha..,mi toka mwanzo,na sasa na siku zote milele mi mtu wa nguna,tena la mtama;we mboga 9 najua unatusorora tu!
....mlenda umekula zamaaaaaaaniiiii,wakati sie tunaula deile neva miss!!
..dagaa mchele unawajua????

Hahahahaha Mkuda sana wewe.
Nisiwajue dagaa mchele tena???
Wakati nashinda kwa mama ntilie deile.
 
KUNA MLENDA WA AINA TATU JE UNATAKA
KUPIKA UPI KATI YA HII MILENDA?
1. MLENDA WA BAMIA
2. MLENDA WA MAJANI
3. MLENDA WA UNGA
 
Nunua bamia,katakata na majani ya maboga tia chumvi acha vichemke kama nusu saa then ipua,au unamaanisha mlenda wa usiku?
Umeokoa jahazi ila majani huwa ni machache sana maana huwa siyaoni au njaa ndio inaniziba macho!
Nalog off
 
Back
Top Bottom