Msaada nataka kumzalisha huyu mdada

Msaada nataka kumzalisha huyu mdada

Una uhakika na yeye anakupenda kiivyo kama wewe unavyompenda labda ?
 
Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.

Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.

Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year

Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.

Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision

Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa

-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto

-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa

-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha

-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto

N.b mbususu napewa Kama kawaida

Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi

Msaada wakuu
Graduate huna kazi..ila una biashara unafanya na mambo ya naenda..sasa yanaendaje bila kazi?..hii mentality ya kuajiriwa ndio kuwa na kazi itawaisha lini nyie graduates.

#MaendeleoHayanaChama
 
Degree anashindwa kutatua changamoto Bora hata usingesoma tu unatamani kuzaa kabla ya kuoa
 
Wotee niliowa-tag NJOONI HAPAA...

Mnataka mwenzenu aoe ili agundue nini?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sikia kijana mwenzangu Boeing787-8 binafsi Nina Miaka 32 na SINA HABARI, SINA MPANGO na wala SIHITAJI KUOA.

Nione ili iweje, KWA DUNIA HII KUNA SABABU YOYOTEE YA KUOA?

Hawa waliokwambia UOE, yaani tungeweza kuweka camera kwenye nyumba zao tuone wanayopitia kwenye ndoa zao nadhani UNGEWAONEA HURUMA na kuwaandalia harambee ya kuwakomboa.

Bahari Boeng umenunuliwa na Magu kwa bei kubwa sanaa kutoka nchi kubwa sanaa duniani, sasa sikia nakwambia hivi HAKUNA KUOA, HAKUNA KUOA.

Mzee baba kali linux am signing out.

KUOA KUOA, KUOA MY FOOT..!!!
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

Any way... YANGA BINGWA.

#YNWA
Mkuu VIP kumpa mimba ili anipatie katoto
 
Mtoa mada una uhakika uchumi wako unaruhusu kuongeza kiumbe kingine kwenye maisha yako ambacho kitakutegemea

Isijekuwa ndiyo wale wale wa "kila mtoto huja na ridhiki yake"

Kama unampenda umuoe ndiyo umzalishe
Mimii napiga mimba na kuoa juu
 
Sawa vizur bas we muoe kwanza alafu ndo umzalishe minaona itakuwa powa zaidi mkuu
Now Hataki kuzaa Kuna mipango yake hajailamilisha, Hana kazi,na Hana Elimu antaka kuongeza ka Elimu
 
Graduate huna kazi..ila una biashara unafanya na mambo ya naenda..sasa yanaendaje bila kazi?..hii mentality ya kuajiriwa ndio kuwa na kazi itawaisha lini nyie graduates.

#MaendeleoHayanaChama
Kweli
 
Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.

Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.

Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year

Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.

Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision

Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa

-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto

-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa

-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha

-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto

N.b mbususu napewa Kama kawaida

Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi

Msaada wakuu
Unatafuta mtoto maana wenzako wana watoto ?? Unafanya mambo kwa kuiga iga ??
 
Kijana wa miaka 29 ni mtu mzima kabisa... Fanya maamuzi acha kutafuta maoni ya watu.

kwenye maelezo yako nimetafuta neno kuoa sijaliona kabisa.

Kama Baba mwenye mtoto wa kike nimefedheheshwa saana.
Hao ndio huwa tunawaita vijana wa hovyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom