Wotee niliowa-tag NJOONI HAPAA...
Mnataka mwenzenu aoe ili agundue nini?😳😳😳😳
Sikia kijana mwenzangu
Boeing787-8 binafsi Nina Miaka 32 na SINA HABARI, SINA MPANGO na wala SIHITAJI KUOA.
Nione ili iweje, KWA DUNIA HII KUNA SABABU YOYOTEE YA KUOA?
Hawa waliokwambia UOE, yaani tungeweza kuweka camera kwenye nyumba zao tuone wanayopitia kwenye ndoa zao nadhani UNGEWAONEA HURUMA na kuwaandalia harambee ya kuwakomboa.
Bahari Boeng umenunuliwa na Magu kwa bei kubwa sanaa kutoka nchi kubwa sanaa duniani, sasa sikia nakwambia hivi HAKUNA KUOA, HAKUNA KUOA.
Mzee baba
kali linux am signing out.
KUOA KUOA, KUOA MY FOOT..!!!
😏😏😏😏😏😏😏😏
😡😡😡😡😡😡😡😡
😠😠😠😠😠😠😠😠
Any way... YANGA BINGWA.
#YNWA