Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,754
- 18,176
Sawa professor.Jamaa una degree? Jitathimini aisee, very poor grammar
Iti is e sosho laifu, donti teki thingiz siriasi.
#YNWA
Sawa professor.Jamaa una degree? Jitathimini aisee, very poor grammar
Kwahiyo unataka amuoe mtu aliye na akili nyingi kuliko yeye?"Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa
-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa
-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha
-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto"
Kwa sababu hizo kwanini Usimuoe sasa,
Huyo Binti anayesoma ka college fulani ana akili kuliko wewe mwenye degree.
Mkuu huyu simuachi naoa kabisaKijana wa miaka 29 ni mtu mzima kabisa... Fanya maamuzi acha kutafuta maoni ya watu.
kwenye maelezo yako nimetafuta neno kuoa sijaliona kabisa.
Kama Baba mwenye mtoto wa kike nimefedheheshwa saana.
Sijasoma hayo ma grammar yenuJamaa una degree? Jitathimini aisee, very poor grammar
Mkuu nipo tayari kumuoaKwanini hutaki kumuoa???, vijana mna roho za kuzimu nyie, yani unataka kumzalisha halafu akaolewe na nani sasa
HaaaaaNilitaka nikushauri, ila nilipoona kua unataka mtoto kisa wenzako wengi uliosoma nao wana watoto, nimeyazuia maneno yangu.
Na mwenzio nae 22 anataka miaka miwili zaidi, bado yupo sokini, wewe unataka umtoe sokoni.
Not easy folks, ananipenda Sana mkuu,Tafuta alie tayari kuzaa kwa sasa zaa nae,huyo kichomi inaonekana akimaliza chuo anaenda kwa mwingine na ameshampata hana time na wewe
MmmmWe akili hakuna kabisa kichwani ni emptyness beaker
Kwa hio ukimpa mimba akazaa ndo akuachi?? Otherwise mnafanana maumbo ila akiwa mzuri kwsha habari yako utatoka na hutamkuta either akuachie mtoto au asepe nae...kajala na pfunk vipi?? Mbna mama analiwa na maisha yanaenda ..onyo nakupa mdogo wangu usiforce kama hataki atakuja sepa na mtoto uanze kulia mwache kama ni kusepa aende bila damu yako
Mkuu Ni kuoa kabisa sema ilo neno kuoa sijalitaja"Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa
-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa
-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha
-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto"
Kwa sababu hizo kwanini Usimuoe sasa,
Huyo Binti anayesoma ka college fulani ana akili kuliko wewe mwenye degree.
Sawa mkuuAcha ufala wewe. Mpe mimba huyo mrembo bwana.
Yaani acha tu mkuu, mie ndo naamuaMwanamke ambae hajui kalenda mbona shida ipo!
Nataka kuoa kabisaaaMimi sishauri mzinzi,
Nilijua unataka kuoa ndo uzae kumbe unataka kuzaa Tu alafu msaidiane Kulea na mtoto wa watu.
Acheni kuharibu MABINTI ZETU.
Hivi wanaume hujiulizi kama ni wewe dada yako wa MIAKA 22 anapigiwa mahesabu kama haya?
Ntamuoa mkuuUnataka kutengeneza masingo maza,si umuoe tu yaishe.
Ndo ninavyotakaKama unataka awe mke, mpe kitu
OkyWewe ni mchoyo na mbinafsi. Anayebeba mimba ni mwanamkr. Heshimu mawazo yake.
Siwezi muacha uyu mwanamke mkuuAcha Ukumbavu najua unachokitaka umzalishe bint wawatu bas
We kama msomi na upo smart kiakili muone kwanza bint alafu ndo umzalishe sio kumzalisha alafu baadae unakuja kumuacha na kumsababishia usingle maza aanze kuangaika na kukosa soko huko Nje
Kijana wa miaka 29 ni mtu mzima kabisa... Fanya maamuzi acha kutafuta maoni ya watu.
kwenye maelezo yako nimetafuta neno kuoa sijaliona kabisa.
Kama Baba mwenye mtoto wa kike nimefedheheshwa saana.
Kwanini hutaki kumuoa???, vijana mna roho za kuzimu nyie, yani unataka kumzalisha halafu akaolewe na nani sasa
Watu hamchoki uasherati
Mimi sishauri mzinzi,
Nilijua unataka kuoa ndo uzae kumbe unataka kuzaa Tu alafu msaidiane Kulea na mtoto wa watu.
Acheni kuharibu MABINTI ZETU.
Hivi wanaume hujiulizi kama ni wewe dada yako wa MIAKA 22 anapigiwa mahesabu kama haya?
Unataka kutengeneza masingo maza,si umuoe tu yaishe.
Acha Ukumbavu najua unachokitaka umzalishe bint wawatu bas
We kama msomi na upo smart kiakili muone kwanza bint alafu ndo umzalishe sio kumzalisha alafu baadae unakuja kumuacha na kumsababishia usingle maza aanze kuangaika na kukosa soko huko Nje
Unataka kumzalisha, hauna ata mpango wa kumuoa, mawazo ya kipumbavu kwa ujana na umri ulionao, akishazaa unamuita singo maza, matunzo ya mtoto usimpe ndo maana mnarogwa mnaokota makopo
Anamzuga tu utakuta huyo demu mpaka anatumia kitanzi jamaa hajuiMwanamke ambae hajui kalenda mbona shida ipo!