Msaada nataka kumzalisha huyu mdada

Msaada nataka kumzalisha huyu mdada

Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.

Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.

Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year

Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.

Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision

Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa

-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto

-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa

-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha

-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto

N.b mbususu napewa Kama kawaida

Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi

Msaada wakuu
Kweli elimu ya siku hizi???unataka JF ndio ikupangie kuhusu future yako,grow up man acha utoto
 
Graduate huna kazi..ila una biashara unafanya na mambo ya naenda..sasa yanaendaje bila kazi?..hii mentality ya kuajiriwa ndio kuwa na kazi itawaisha lini nyie graduates.

#MaendeleoHayanaChama
Huyu ni mpuuzi angekuwa karibu ningemnasa kofi,usikute anadhani Mo au Bakhresa hawana kazi
 
Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.

Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.

Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year

Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.

Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision

Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa

-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto

-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa

-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha

-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto

N.b mbususu napewa Kama kawaida

Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi

Msaada wakuu
Unaendeshwa na mihemko tu hiyo. Yan unatamani kuzaa kisa wenzio wamezaa? Hauko serious
 
Naona bado hujakua kiakili,
Sababu zako za kutaka mtoto unazionaje?
Fungeni ndoa
 
Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.

Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage men
Kwahiyo unataka sisi ndiyo tukukamatie
 
Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.

Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.

Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year

Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.

Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision

Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa

-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto

-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa

-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha

-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto

N.b mbususu napewa Kama kawaida

Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi

Msaada wakuu
Mtie mimba mzee
 
Kijana wa miaka 29 ni mtu mzima kabisa... Fanya maamuzi acha kutafuta maoni ya watu.

kwenye maelezo yako nimetafuta neno kuoa sijaliona kabisa.

Kama Baba mwenye mtoto wa kike nimefedheheshwa saana.
Hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom