Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,754
- 10,031
😅😅😅😅 mie mke wa mtu bloo kumradhiEbu njoo huku bwana tukulane kimasikhara tupate kusimulia kule bwana

Unataka kutengeneza masingo maza,si umuoe tu yaishe.Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.
Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.
Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year
Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.
Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision
Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa
-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa
-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha
-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto
N.b mbususu napewa Kama kawaida
Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi
Msaada wakuu
but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani
Usimuige tembo anavyochuchumaaNow nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
Tena sii ndio story itanoga, jinsi nilivyomla kimasikhara mke wa mtu😅😅😅😅 mie mke wa mtu bloo kumradhi
Sijui mchawi wetu watanzania ni naniNow nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
acha uphaller bhanaTena sii ndio story itanoga, jinsi nilivyomla kimasikhara mke wa mtu
Aya wacha nitulie. Enjoy wikend na shemejiacha uphaller bhana
Liverpool VPN is typing...Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.
Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.
Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year
Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.
Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision
Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa
-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa
-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha
-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto
N.b mbususu napewa Kama kawaida
Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi
Msaada wakuu
Tafuta Hela kijanaHope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.

Wewe ni mchoyo na mbinafsi. Anayebeba mimba ni mwanamkr. Heshimu mawazo yake.Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.
Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa miaka miwili, mkataba ukaisha, now nafanya bihashara na mungu anasaidia Mambo yanaenda.
Huyu binti simsifu Sana but ana tabia nzuri Sana, mtu wa mungu, but hajasoma Kama mie, yupo kwenye collage Fulani anamaliza this year
Mie Nina 29yrs, yeye 22 mie natamani kuwa na mtoto, binti anataka nimpe angalau miaka miwili, ili akimaliza kusoma atafute kazi afu ndo tuzae, mie naona miaka miwili Ni Mingi nataka mtoto now.
Huyu binti siku zake za mzunguko mie ndo nahesabu mie ndo napanga tukikutane kwenye siku kadhaa, yeye mambo ya kumanage menstrual cycle hajui, anasema mie nkishajua Basi, so nkiamua kumpa mimba Ni chap sema bado sijafanya final decision
Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa
-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
-Wanawake hawaeleweki anaweza pata kazi ukaachwa
-Nampenda ananipenda Sana siwez muacha
-nina ugonjwa wa pressure unanisumbua Sana naogopa nisije kufa sijaacha katoto
N.b mbususu napewa Kama kawaida
Je nipige mimba au nisubiri mtoto wa watu nae apate kazi
Msaada wakuu
Zingatia mambo yako,,, achana na mambo ya wengine.... Kila mtu ana wakati wake....hii sababu itoe kwenye List yako...Kinachonifanya nitake mtoto Ni kuwa
-Now nimekua napaswa kuwa na mtoto, wenzangu niliosoma nao Wana watoto
Kwanini hutaki kumuoa???, vijana mna roho za kuzimu nyie, yani unataka kumzalisha halafu akaolewe na nani sasa
Fanya chaap!!Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.