Msaada: Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja

Msaada: Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja

Sales and Marketing is such a work kwa ajil ya watu smart na wenye utayari wa kujifunza na kujaribu mambo mapya. Sio kazi nzuri kwa mtu mwenye "employment mindset" na kama uko hivyo kimbia.

Kwenye sales u get paid for the value u bring in not for the time spent.!.

Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Kwa mfumo wa uchumi wa sasa katika nchi za kiafrika, kusokekana kwa ajira, hio ndio njia tunayoelekea.Vijana ACHENI UVIVU kumbatieni mabadiliko.Huku tjnakoelekea NO BODY will be interested kukuajiri wewe na kukulipa wakati HUINGIZI CHOCHOTE .Wenzetu ulaya na amerika huko walishafika kitambo sanaaa...

HII NI FURSA NZURI. Yani mtu kashatafuta PESA NA MTAJI WAKE halaf wewe huna kitu chochote ILA ANAKUITA UPATE KU SHARE PESA YAKE kwa wewe kuingiza SKILLS zako tuu.. yan naamka kwenda kuuza mali ambayo mtaji si wangu lakini STILL I GET PAID.

Ila sasa ukitaka kugombana na vijana waambie kuwa hii ni kazi, WATAKUONA KAMA UNAWAPOTEZA. Wanaona AIBU SANAAA KUUZA hawazionei aibu shida zao kwa kukaa vijiweni au kuomba omba na kipiga mizinga..

USHAURI WANGU KWAKO mleta mada.
NENDA KAFANYE KAZI.
Kutoaga motivational speech bila kuwananga vijana huwa hamuwezi? Kama ni mchongo wenye hela mbona hata wababa/wazee wanaweza kuuchangamkia.
 
Kutoaga motivational speech bila kuwananga vijana huwa hamuwezi? Kama ni mchongo wenye hela mbona hata wababa/wazee wanaweza kuuchangamkia.
Pita vilee na victim mindset yako kila kitu kuona unanangwa.

Hiv unajua vijana na vijana watarajiwa ni asilimia ngap ya population nzima according to sensa???

Au fulltime unaongea kifala fala tu kama hiv kwa kupenda mashindano mpuuuzi wewe
 
Back
Top Bottom