Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
- Thread starter
- #41
Yesi??Do you look beautiful?
Yesi??Do you look beautiful?
Nimekupata na ndio inapoleta shida yaani anajua wewe unawateja wahapo na hapoShida ni boss anapoweka unrealistic targets na yeye katika theories zake anaona hizo ndiyo sahihi
Sijawahi kua sales kwenye magari so acha nikupe mfano ninaoujua. Mfano kampuni ina mashine za kumwagilia za solar unagewa target uuze mitambo 3 katika mwezi.
Mtambo mmoja ni Milioni 20 mpaka 40. Ila kuna mtambo wa mchina wa kutumia mafuta unauzwa milioni 2 mpaka 8.
Huu wa milioni 8 unaweza kufanya kazi ya mtambo wa milioni 20.
Ingawa mtambo wa solar ni faida in a long run ila siyo wakulima wote wanaweza kumudu.
Sijui unapata picha hapa?
Makubwa aiseeAnyway.....
Nakushauri ukubali, yawezekana ukaiona kazi ngumu lakini hii kazi ina faida nzuri kila unapo uza chuma.
Kikubwa kua na bidii kwenye matangazo, na jitahidi kua na majibu ya kila swali unaoo ulizwa na mteja (kama hauna jibu muombe muda na umrudie kwa jibu).
Hiyo kazi haitaki presha wala haraka, pia utakutana na wateja wenye maringo, nyodo, majibu mbaya na mambo kama hizo..... kikubwa kua mvumilivu na jitahidi kutoa majibu positive na yenye ushawishi.
Pia fungua account kwaajili ya matangazo kwenye mitandano mingi ya kijamii kama Facebook, Instagram, Jamiiforums, Telegram nk.
Mwisho nikutakie kila la kheri na Mungu azibariki kazi za mikono yako
Njoo PMYesi??
Usiogope bhana.Sikia ukiingia mtandaoni Kuna kozi ya sales and marketing.Ipitie ndugu,itakusaidia Sana.Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Naomba niunganishie hii kaziNataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Ni Arusha na sasa lazima tuwe partners ila kwa muda naweza kukutambulisha rasmi ukafanya mwenyewe ni makubalianoNaomba niunganishie hii kazi
Napenda sana maboss kama hawa
unajilia malipo kwa kadri ya ufanyaji kazi wako
mimi ni mjuzi wa masuala ya digital marketing so wateja kupatikana sio tatizo
labda ashindwe yeye kuclose deal
Ila napenda niwepo ofisi hiyo hiyo..
maana kuna watu nilikuwa nafanya nao kazi wanataka niwe remotely sasa deals zikiw closed ni ngumu kujua
mimi nipo dar es salaam itakuwaj sasa 🤔🤔🤔Ni Arusha na sasa lazima tuwe partners ila kwa muda naweza kukutambulisha rasmi ukafanya mwenyewe ni makubaliano
Naomba uniunganishe mm naipenda sana hiyo kazi[emoji1666]Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.
Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Eti eh haya tutaongeaNaomba uniunganishe mm naipenda sana hiyo kazi[emoji1666]
😂 wadosi eehHuku JF wadosi wamejaa, watayanunua hata ikiwa 500M.
Lisikuwazishe hilo
Unapenda kaz ya digital marketing au kazi ya kuuza magari? I am serious mkuuNaomba niunganishie hii kazi
Napenda sana maboss kama hawa
unajilia malipo kwa kadri ya ufanyaji kazi wako
mimi ni mjuzi wa masuala ya digital marketing so wateja kupatikana sio tatizo
labda ashindwe yeye kuclose deal
Ila napenda niwepo ofisi hiyo hiyo..
maana kuna watu nilikuwa nafanya nao kazi wanataka niwe remotely sasa deals zikiw closed ni ngumu kujua
Mimi ni mjuzi wa masuala ya digital marketing.Unapenda kaz ya digital marketing au kazi ya kuuza magari? I am serious mkuu
Una mchongo gani... tuyajengeeUnapenda kaz ya digital marketing au kazi ya kuuza magari? I am serious mkuu
Mimi niko kwenye software industry chief..pengine tunaweza tukazungumza zaid pembeniMimi ni mjuzi wa masuala ya digital marketing.
Naipenda kwa sababu unaweza ukainvest pesa kidogo kupata mteja atakaye cover ile gharama ya marketing na kisha ukapata na faida.
sasa kwanin nimepend hili suala la upande wa magari na mtindo huu wa commission based..
ni kwamba mteja mmoja wa gari ujimpata faida yake ni kubwa sana lets say ukainvest 100,000 kwenye ads..
Sindan kama utakosa mteja wa kukupatia commission ya 300,000 mpaka 500,000 ...namaanisha hapo mteja mmoja.
Nishawahi ifanya hii ila tu nilikuwa napigwa kwenye ganji 😂😂 kwakuwa nilikuwa nafanya remotely..
Wewe ulikuwa unahitaji digital marketing au sales wa magari..
Napenda kufanya digital marketing kwenye biashara ya magari kwakuwa ina pesa ya nje nje
okay karibuMimi niko kwenye software industry chief..pengine tunaweza tukazungumza zaid pembeni
Nafuu umempa kazi maana nimtu mwemaokay karibu
😊😊😊Nafuu umempa kazi maana nimtu mwema