Msaada: Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja

Msaada: Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja

Kwa ufupi ni unagewa kazi ya kua Sales and Marketing officer.

Mara nyingi hizi kazi malipo yako ni commission so unachotakiwa ni kua na taarifa sahihi za bidhaa yako. Mfano umesema utauza magari hivyo ukiwa unaongea na mtu unakua unajua hili gari ni la mwaka gani, lina uwezo gani, udhaifu wake ni nini, ili liendelee kua imara nini kifanywe na nini kisifanywe.

Pia jua mteja wako. Hii itasaidia kumletea mtu bidhaa sahihi kulingana na unavyomjua.

Jitahidi kua mkweli na muwazi.

Kwa kazi za sales kwa maoni yangu hivyo viwili vya kwanza hakikisha unavimaster mapema, kisha mengine yatakuja. Haswa haya ya connection.

Na usiniquote vibaya ukahisi ni ishu nyepesi, hapana ni ngumu, wepesi utakuja baadaye.
Umemueleza vyema.

Pia ajue kuwa wateja wanafahamu magari na ndio sababu ya kumtaka awe mkweli. Wengine watakuja kukupima ila kutokana na ukweli wako, watanunua bidhaa.

Wengine watakuja huku wana magari yao vichwani, kama wewe huna hilo gari alitakalo, mshawishi anunue hilo ulilonalo kwa kupimanisha sifa na ubora wa gari alilonalo kichwani dhidi ya lile ulilonalo showroom kwako.
 
Anyway.....
Nakushauri ukubali, yawezekana ukaiona kazi ngumu lakini hii kazi ina faida nzuri kila unapo uza chuma.
Kikubwa kua na bidii kwenye matangazo, na jitahidi kua na majibu ya kila swali unaoo ulizwa na mteja (kama hauna jibu muombe muda na umrudie kwa jibu).
Hiyo kazi haitaki presha wala haraka, pia utakutana na wateja wenye maringo, nyodo, majibu mbaya na mambo kama hizo..... kikubwa kua mvumilivu na jitahidi kutoa majibu positive na yenye ushawishi.
Pia fungua account kwaajili ya matangazo kwenye mitandano mingi ya kijamii kama Facebook, Instagram, Jamiiforums, Telegram nk.
Mwisho nikutakie kila la kheri na Mungu azibariki kazi za mikono yako
 
Nina mshkaji wangu kabisaa yaani mshikaji hasaaa
Tuliajiriwa wote serikalini akapata ajira private ya kuuza matreka na vifaa vya kilimo.
Kampuni yao trekta bei rahisi ni mil 75.

Aliacha Kazi ya serikali akaenda huko.
Anakwambia mwanzoni maisha yalikuwa magumu ila aliweza.

Kwasasa anauza trekta minimum 12 kwa mwaka.
Ukiachana na mshahara wa Mil3 kwa mwezi ana commission ya Dollar 700 kwa kila trekta atakalouza.
Bado na commission ya vifaa vyengine na allowance nyengine za ofisi.

Kifupi:-
Hii Kazi ni ngumu ila INAWEZEKANA.

Pitia YouTube uangalia video za sales bila kusahau kusoma vitabu vya sales (sio vya darasani).

Huyu mwamba aliacha Kazi serikalini 2016 akaenda huko kwenye trekta.
Na January/2023 aliachana na matrekta akaenda Superdoll.

Na juzi kaniambia kaachana na Superdoll yupo kwenye matrekta Tena..!!!
Na Agricom wanamtaka pia.

Elimu yake ni Certificate tu..!!

Angekuwa serikalini mpaka leo angekuwa analipwa 565k...!!!

Kwasasa THE MAN IS LEGEND.

Hata wewe unaweza.

#YNWA
 
Kwa ufupi ni unagewa kazi ya kua Sales and Marketing officer.

Mara nyingi hizi kazi malipo yako ni commission so unachotakiwa ni kua na taarifa sahihi za bidhaa yako. Mfano umesema utauza magari hivyo ukiwa unaongea na mtu unakua unajua hili gari ni la mwaka gani, lina uwezo gani, udhaifu wake ni nini, ili liendelee kua imara nini kifanywe na nini kisifanywe.

Pia jua mteja wako. Hii itasaidia kumletea mtu bidhaa sahihi kulingana na unavyomjua.

Jitahidi kua mkweli na muwazi.

Kwa kazi za sales kwa maoni yangu hivyo viwili vya kwanza hakikisha unavimaster mapema, kisha mengine yatakuja. Haswa haya ya connection.

Na usiniquote vibaya ukahisi ni ishu nyepesi, hapana ni ngumu, wepesi utakuja baadaye.
Umenena vyema!
 
Sales and Marketing is such a work kwa ajil ya watu smart na wenye utayari wa kujifunza na kujaribu mambo mapya. Sio kazi nzuri kwa mtu mwenye "employment mindset" na kama uko hivyo kimbia.

Kwenye sales u get paid for the value u bring in not for the time spent.!.

Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Kwa mfumo wa uchumi wa sasa katika nchi za kiafrika, kusokekana kwa ajira, hio ndio njia tunayoelekea.Vijana ACHENI UVIVU kumbatieni mabadiliko.Huku tjnakoelekea NO BODY will be interested kukuajiri wewe na kukulipa wakati HUINGIZI CHOCHOTE .Wenzetu ulaya na amerika huko walishafika kitambo sanaaa...

HII NI FURSA NZURI. Yani mtu kashatafuta PESA NA MTAJI WAKE halaf wewe huna kitu chochote ILA ANAKUITA UPATE KU SHARE PESA YAKE kwa wewe kuingiza SKILLS zako tuu.. yan naamka kwenda kuuza mali ambayo mtaji si wangu lakini STILL I GET PAID.

Ila sasa ukitaka kugombana na vijana waambie kuwa hii ni kazi, WATAKUONA KAMA UNAWAPOTEZA. Wanaona AIBU SANAAA KUUZA hawazionei aibu shida zao kwa kukaa vijiweni au kuomba omba na kipiga mizinga..

USHAURI WANGU KWAKO mleta mada.
NENDA KAFANYE KAZI.
 
Unique flower ukauza magari?? Uza flower na mbolea yake kwa siku hukosi laki 3 mpaka 5, wateja ni wengi especially Telegram na unakuwa unahama miji mikubwa mikubwa tu watu wanajipatia mbolea saaafi na maua yake.

All the best
 
Code
 
Sales and Marketing is such a work kwa ajil ya watu smart na wenye utayari wa kujifunza na kujaribu mambo mapya. Sio kazi nzuri kwa mtu mwenye "employment mindset" na kama uko hivyo kimbia.

Kwenye sales u get paid for the value u bring in not for the time spent.!.

Ushauri wangu kwa vijana ni huu:
Kwa mfumo wa uchumi wa sasa katika nchi za kiafrika, kusokekana kwa ajira, hio ndio njia tunayoelekea.Vijana ACHENI UVIVU kumbatieni mabadiliko.Huku tjnakoelekea NO BODY will be interested kukuajiri wewe na kukulipa wakati HUINGIZI CHOCHOTE .Wenzetu ulaya na amerika huko walishafika kitambo sanaaa...

HII NI FURSA NZURI. Yani mtu kashatafuta PESA NA MTAJI WAKE halaf wewe huna kitu chochote ILA ANAKUITA UPATE KU SHARE PESA YAKE kwa wewe kuingiza SKILLS zako tuu.. yan naamka kwenda kuuza mali ambayo mtaji si wangu lakini STILL I GET PAID.

Ila sasa ukitaka kugombana na vijana waambie kuwa hii ni kazi, WATAKUONA KAMA UNAWAPOTEZA. Wanaona AIBU SANAAA KUUZA hawazionei aibu shida zao kwa kukaa vijiweni au kuomba omba na kipiga mizinga..

USHAURI WANGU KWAKO mleta mada.
NENDA KAFANYE KAZI.
Shida ni boss anapoweka unrealistic targets na yeye katika theories zake anaona hizo ndiyo sahihi

Sijawahi kua sales kwenye magari so acha nikupe mfano ninaoujua. Mfano kampuni ina mashine za kumwagilia za solar unagewa target uuze mitambo 3 katika mwezi.

Mtambo mmoja ni Milioni 20 mpaka 40. Ila kuna mtambo wa mchina wa kutumia mafuta unauzwa milioni 2 mpaka 8.

Huu wa milioni 8 unaweza kufanya kazi ya mtambo wa milioni 20.

Ingawa mtambo wa solar ni faida in a long run ila siyo wakulima wote wanaweza kumudu.

Sijui unapata picha hapa?
 
Nimekupata kaka na uko sahihi.Mimi nililiongelea katika perspective ya sales person.Upande wa pil kwenye targerts huko huwa majanga sana
 
Nilikua narely mno kwenye reverse psychology wakati wa bargaining, hii mteja akikubali ni anakubali mazima ila akikataa hata akikuona peponi anaghairi anaenda kuzimu.

Kwenye kubargain ambacho kinampa mtu advantage ni stall na kukaa kimya. Mfano nakupa best explanation ya ishu unayoitaka unaniuliza swali najibu vizuri kisha ukiuliza bei nataja ukiomba punguzo nakaa kimya.

Hapa kwenye kukaa kimya sasa yeyote atakayemuanza mwenzake basi kwenye hiyo bargaining yeye ndiyo ataliwa. Mteja akinirudia na kusema 'Ndugu yangu umeiona text? Nimeomba punguzo' basi najua trick imefanya kazi. At some point unakutana na mteja na yeye anakufanyia hii trick pia.

Tulikua na mzee kaiva kwenye hizi pyschological tricks, mteja anakuja anasema nahitaji kitu A mzee atamuambia kipo lakini bei imepanda utaweza kuafford kweli? Now watu wengi hutaka kuprove kwamba wanaweza kuafford.

Tayari kaingia.
 
Nataka kukubali kazi ambayo sijui wateja, nawapata wapi.

Kupitia nyie naomba ushauri ni kuuza magari ya aina zote hadi umpate mtu akubali kununua gari la ml 25 au ml 200 huwa mnawapataje?? Naomba ushauri kabla sijakubaliana
Do you look beautiful?
 
Back
Top Bottom