Prince Tumbo
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 910
- 247
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Asante sana kunipa cheo cha ufala. Lakini huenda wewe ukanizidi ufala, maana wewe unatamani kujiua halafu unauliza msaada. Nenda kamwone daktari wa vichaa atakuelimisha ufala wako ulivyo wa hali ya juu. Sina huruma nawe mvivu wa kufikiri unayedhani kujiua ndo suluhisho hata ati unasema kila mara wazo la kujiua linakujia. Ni kwa sababu hutaki kuwaza mipango ya maendeleo yako ila unataka mambo yaende tu, tegemezi mwovu wewe unayeshawishi wengine wafikiri kama wewe! Shindwa kabisa na kulegea!!
Yesu yu hai...uhai wako upo ,una yesu na yesu uko nae hapo ulipo, mpokee utaishi na pepo wa mauti akutoka kwa mamlaka yatokayo juu...
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Asante sana Mkuu kwa kunipamba sana. Nafurahi kujua wewe ni tajiri sana lakini ujumbe wangu umekufikia, nami nafunga mjadala maana bora nikuache ujifie mbali usijenifia bure tukijadili upuzi wako hapa.Ona ulivyo na mawazo ya kimaskini,unadhani matatizo ni ya kiuchumi tu?
Eti mi ni tegemezi!!
Mkuu zaleo,nipo well established kimaisha na kiuchumi,kama huna msaada kula kubwa tu mkuu,fa.la wewe!
Mkuu mwamini Bwana Yesu Kristo atakuokoa kutoka katika mawazo ya kutaka kujiua.Mwenzio alinisaidia nilipokuwa na mawazo kamayako!Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
shika adabu yako!
Mungu ni muweza.....hilo ni jaribu tu ila Mungu atakupa mlango wakutokea.Ili upate kupona kwanza samehe alafu Muombe Mungu usahau.Mungu anaenda kufanya kitu jion ya leo kwaa ajil yko.
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
ahsante sana.
Nitakupataje mkuu Caroline Danzi?