Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 219
- 391
- Thread starter
-
- #21
Hiyo ni dalili kuwa bado hujapona, rudi tena kwa daktari wako akusaidie. Pia jaribu kuchanganyika na watu ili kupunguza msongo wa mawazo. Lakini yote hayo Tisa, kumi achana na hicho kinachokupa msongo wa mawazo na uamini kuwa maisha bila hicho yanawezekana
Kajiunge na M23, uombe uende frontline.
Yaani ulivyoandika nikajua unatKa usaidiwe jinsi ya kujiua.
Kemea hayo mawazo na jiweke mbali na upweke. Badili attitude yako kuhusu maisha. Kuna watu wana matatizo lukuki lakini wanatabasamu kila wakati. Utatoboa tu mbona, Mungu sio Jumanne unajua?
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
Hebu acha kumpa shetani utukufu kwakutaka kujiua, ikemee hiyo roho ya mauti na pia nivema kama utarudi tena kwa wataalam wa saikologia ili uweze kutokomeza tatizolako.
Bwana wewe una akili sana. Ukijiua utakuwa umemaliza matatizo yoooooote. Ukitaka ufe kwa raha nenda faya, ukiona taa zinaruhusu magari kupita ruka ukalale katikati ya barabara kutaimu gari ziendazo kasi sana hasa zile zinazojenga barabara zenye kifusi au mawe juu. Yaani hutaumwa hata kidogo. Kila la kheri njomba mwanaume wa shoka wewe.
Pole sana kikubwa kwa sasa unatakiwa ujitambuia kuwa wewe ni nani na una nafasi gani katika jamii na nchi yako kwa ujumla na baada ya hapo kufa ni lazima lkn si kwa force kama hivyo jaribu kuondokana na hayo mawazo ya kufikili kiasi hicho kwani si vyema kabisa kuwa na mawazo hayo na hata kama yakija kwenye kichwa chako usiyape nafasi na usiwe mtu wa kujifungia chumbani toka zungumza na watu tofauti2 ili upate mawazo mapya kila wakati itkusaidia sana kuondokana na hili tatizo.Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
FA.LA wewe!
Sijaomba msaada wa jinsi ya kujiua,bali kuepukana na hali hiyo!
Kukaa kimya ni busara pia.
Pole sna..hiyo ni roho chafu..na unatawaliwa na mawazo mabaya..epuka kukaa peke yako,jichanganye na watu..pendelea kusali zaidi..Mungu ana makusudi na uhai wa kila mmoja..jipe moyo
Ahsante sana mkuu.
Asante sana kunipa cheo cha ufala. Lakini huenda wewe ukanizidi ufala, maana wewe unatamani kujiua halafu unauliza msaada. Nenda kamwone daktari wa vichaa atakuelimisha ufala wako ulivyo wa hali ya juu. Sina huruma nawe mvivu wa kufikiri unayedhani kujiua ndo suluhisho hata ati unasema kila mara wazo la kujiua linakujia. Ni kwa sababu hutaki kuwaza mipango ya maendeleo yako ila unataka mambo yaende tu, tegemezi mwovu wewe unayeshawishi wengine wafikiri kama wewe! Shindwa kabisa na kulegea!!FA.LA wewe!
Sijaomba msaada wa jinsi ya kujiua,bali kuepukana na hali hiyo!
Kukaa kimya ni busara pia.
Habarini wakuu!
Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema.
Lakini,kwa miaka yote hiyo,nimekuwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo,na mara kadhaa,wazo la kujiua hunijia kwa nguvu.
Hali hii inanitesa,na nashindwa kabisa jinsi ya kutoka hapa.
Naombeni msaada wenu,ili niweze ishi maisha ya kawaida.
Ahsanteni.
unahitaj maombi sana sana ila pia itambue nafsi yako kwamba wewe unathamani gani manake no matter what went wrong haina maana kwamba utu wako umeshuka ama maisha yako yamekosa maana. still kuna watu ambao wangependa na wanapenda sana uwepo wako na wanauthamini pia
maisha ni kukosea kisha kunyanyuka unajifuta na kusonga mbele usiangalie wangapi ama yapi yanasemwa ila angalia nini nataka kibadilike kwangu na nitakibadilisha vipi. ni ngumu kuridhisha watu wote lkn pia sio busara kukosana nao wote hivyo mwombe mungu akupe utu wema na moyo wa uvumilivu utaish milele nakuambia.