Msaada: Nataka kufanya installation ya bitdefender ant-virus 2011 na ku crack

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
10,025
Points
2,000

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2010
10,025 2,000
Niaje wadau nilukuwa naomba msaada wa kufanya instullation ya bitdefender ant virus 2011 na ku cracks
wewe si umesema ni houseboy? vp kwa mshahara wa 60,000/= unazolipwa ununue computer? ila mambo yako makubwa si mchezo.
anyway ngoja wajuvi waje watakusaidia.
 

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,198
Points
2,000

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,198 2,000
Kweli huyu ni house boy na ni mjuzi wa mambo
dah kweli unafaa kufanya kile unachotarajia kukifanya maana houseboy umeenda shule mbaya
 

Son of Africa

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2011
Messages
233
Points
0

Son of Africa

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2011
233 0
Installation siyo instullation. Utasaidiwa ila kanunue dukani antivirus ya uhakika. Hizo za magumashi unazotafuta zitaua mashine yako na hazina uwezo wa kuwapangua viruses sugu hasa wale wenye tabia kama hiv
 

Forum statistics

Threads 1,392,453
Members 528,629
Posts 34,109,742
Top