Msaada: Nataka kuezeka nyumba hii

Msaada: Nataka kuezeka nyumba hii

Wanajamvi....

Nimefanikiwa kufika hapa kwenye mambo ya ujenzi pembezoni mwa jiji...., baada ya kusimama kwa muda sasa nimepata 4.2 milion kwa ajili ya kuezeka. Napenda sana zile bati za rangi zenye migongo midogo ingawa salio ndo hilo bovu. Naomba ushauri kwa haya yafuatayo:-
  • Je hizo hela zinatosha? please nipeni mchanganua kwa uzoefu wenu hasa idadi ya bati, mbao, misumari, ufundi na gharama zake...,
  • Ushauri wa bati nzuri na geji zake ila kwa kuzingatia hilo salio, sina zaidi.....
  • Kwa mwenye kunisaidia ku-design paa naomba anisaidie, nitamtoa kidogo (pm please)
  • Chochote unachoweza kunishauri nitashukuru
  • Kuna mtu ananishauri ninunue bati za jeshi, hii imekaaje wakuu
Nawakilisha

View attachment 186260 View attachment 186261View attachment 186262View attachment 186262

Tathimini hiyo naipiga fresh na roof plan unaipata cheki nikichukua vipimo site alafu njoo PM tulonge
 
Attachments

  • 1411298055627.jpg
    1411298055627.jpg
    95.8 KB · Views: 420
  • 1411298078488.jpg
    1411298078488.jpg
    121.8 KB · Views: 540
Asante mleta mada, nimejifunza kitu hapa, hasa kuhusu treated timber na mti wa mnazi, hata mimi niko hatua kama yako na nimesimamia hapo nikizichanga, shukrani za pekee zimfikie wa 'mti wa mnazi' jf ni kila kitu.
 
Mkuu JF ni sehemu ya kupeana ujuzi na uzoefu hiyo pesa 4.2m ni nyingi sana na chenji inabaki,tafuta mbao za minazi na utafute mtu wa kukata mbao za mnazi kwa nyumba hiyo minazi 16 inatosha zunguka sehemu mbali mbali hapa dsm ukikuta wanaangusha mnazi waombe huo mnazi,kukata kwa mashine mnazi mmoja kuchonga mbao ni sh 4000 kwahiyo gharama za mbao za minazi 64,000/= Kuna wengine wanauza mnazi kwa 10,000 wengine hawauzi ukikuta wameukata wanatoa bure so tuassume total 220,000/=plus usafiri 80,000/= Nunua bati za ALAF zile ngumu za 20,000/= kwahiyo nyumba yako nlivyoangalia zinaingia kama 60 tuassume 80 kwa design yeyote(Total 1.6m) kuna mafundi wazuri sana wa bei rahisi design yeyote ya paa na ufundi kujenga wanafanya kwa 600k) mpaka sasa tushatumia 2.5m tuweke 100k ya usafiri 2.6m! Hapo utabidi uongeze matofali kama 100 kwa ajili ya kuzungusha juu,utahitaji waya kwa ajili ya kushikia fenzi tuassume makolokolo yote hayo laki4 pamoja na kununua ndoo za rangi kwa ajili ya kupaka hayo mabati yalete muonekano mzuri ila rangi ya bati uipake baada ya miezi kama miwili hivi baada ya kuzijengea then 1.2m inabaki kwa mambo mengine humu JF kuna wengine wanakatisha tamaa na bei za ajabu ajabu! Mbao ya mnazi ni miaka 100 hailiwi na mdudu yeyote! Na ndio maana kitanda cha mbao ya mnazi bei yake haishikiki 77 walikuwa wanauza 1.2m

King Kong III, Umenipa elimu kubwa sana, sikuwahi kufukiria mbao ya mnazi, je unaweza walau kunisaidia walau wapi miti ya minazi inapatikana kwa urahisi?

Ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:

Miti ya Minazi kwa Wingi inapatikana Bagamoyo,Mkuranga,Pugu kwahiyo utaangalia Site yako ipo wapi zaidi kama ipo wilaya ya temeke unaweza ukachukua kutoka mkuranga/kongowe/mwandege/vikindu,kama upo wilaya ya kinoclan unaweza ukachukua maeneo ya mapinga/bunju mabwepande/zinga/kerege au kama ipo ilala unaweza ukachukua maeneo ya ukonga/kipunguni/gombs/pugu watu wa kukata mbao za minazi wapo wengi tu wenye mashine zao wanapasua mnazi mmoja kwa sh 4000 halafu mbao za mnazi hazihitaji dawa maana haziliwi na mchwa au na mdudu yeyote kuna project kama 5 hivi nimeziona zimepigwa kitu cha mnazi nikipata wasaa nitapiga snaps ni-attach uone.
 
Mkuu natamani nizinunue tu hizo mbao nikae nazo, hata kama sijengi sasa hivi. Unajua kwa mwendo huu zitakua hazishikiki muda sio mrefu. Ubarikiwe sana kwa kunifumbua macho kuhusu mbao za Mnazi na kwa upande mwingine huenda ikawa fursa ya biashara mkuu.
 
Miti ya Minazi kwa Wingi inapatikana Bagamoyo,Mkuranga,Pugu kwahiyo utaangalia Site yako ipo wapi zaidi kama ipo wilaya ya temeke unaweza ukachukua kutoka mkuranga/kongowe/mwandege/vikindu,kama upo wilaya ya kinoclan unaweza ukachukua maeneo ya mapinga/bunju mabwepande/zinga/kerege au kama ipo ilala unaweza ukachukua maeneo ya ukonga/kipunguni/gombs/pugu watu wa kukata mbao za minazi wapo wengi tu wenye mashine zao wanapasua mnazi mmoja kwa sh 4000 halafu mbao za mnazi hazihitaji dawa maana haziliwi na mchwa au na mdudu yeyote kuna project kama 5 hivi nimeziona zimepigwa kitu cha mnazi nikipata wasaa nitapiga snaps ni-attach uone.
Aisee,Kama kazi ya Meya wa Jiji,basi mkuu Kingkong ningekupa.
Maana unajua chochoro zote hizo.
 
Miti ya Minazi kwa Wingi inapatikana Bagamoyo,Mkuranga,Pugu kwahiyo utaangalia Site yako ipo wapi zaidi kama ipo wilaya ya temeke unaweza ukachukua kutoka mkuranga/kongowe/mwandege/vikindu,kama upo wilaya ya kinoclan unaweza ukachukua maeneo ya mapinga/bunju mabwepande/zinga/kerege au kama ipo ilala unaweza ukachukua maeneo ya ukonga/kipunguni/gombs/pugu watu wa kukata mbao za minazi wapo wengi tu wenye mashine zao wanapasua mnazi mmoja kwa sh 4000 halafu mbao za mnazi hazihitaji dawa maana haziliwi na mchwa au na mdudu yeyote kuna project kama 5 hivi nimeziona zimepigwa kitu cha mnazi nikipata wasaa nitapiga snaps ni-attach uone.

Asante sana upembuzi yakinifu King Kong. Uongezewe baraka, hapo tunaona faida ya jf, bila shaka wengi watanufaika na presentation yako.
 
Mkuu JF ni sehemu ya kupeana ujuzi na uzoefu hiyo pesa 4.2m ni nyingi sana na chenji inabaki,tafuta mbao za minazi na utafute mtu wa kukata mbao za mnazi kwa nyumba hiyo minazi 16 inatosha zunguka sehemu mbali mbali hapa dsm ukikuta wanaangusha mnazi waombe huo mnazi,kukata kwa mashine mnazi mmoja kuchonga mbao ni sh 4000 kwahiyo gharama za mbao za minazi 64,000/= Kuna wengine wanauza mnazi kwa 10,000 wengine hawauzi ukikuta wameukata wanatoa bure so tuassume total 220,000/=plus usafiri 80,000/= Nunua bati za ALAF zile ngumu za 20,000/= kwahiyo nyumba yako nlivyoangalia zinaingia kama 60 tuassume 80 kwa design yeyote(Total 1.6m) kuna mafundi wazuri sana wa bei rahisi design yeyote ya paa na ufundi kujenga wanafanya kwa 600k) mpaka sasa tushatumia 2.5m tuweke 100k ya usafiri 2.6m! Hapo utabidi uongeze matofali kama 100 kwa ajili ya kuzungusha juu,utahitaji waya kwa ajili ya kushikia fenzi tuassume makolokolo yote hayo laki4 pamoja na kununua ndoo za rangi kwa ajili ya kupaka hayo mabati yalete muonekano mzuri ila rangi ya bati uipake baada ya miezi kama miwili hivi baada ya kuzijengea then 1.2m inabaki kwa mambo mengine humu JF kuna wengine wanakatisha tamaa na bei za ajabu ajabu! Mbao ya mnazi ni miaka 100 hailiwi na mdudu yeyote! Na ndio maana kitanda cha mbao ya mnazi bei yake haishikiki 77 walikuwa wanauza 1.2m

Lakini mnazi u atakiwa upauliwe ukiwa mbichi kama sikosei wanasema ukikauka msumari haungii. Ni wazo zuri sana hongera kwa mchango wako.
 
Nakushari kwanza Badilisha Avatar,unaitwa NJAA?
Kuna majina mengine mungu hupenda kuyapa yanachokiamini.
Sasa kama upepo utapitia kwako,basi umaskini hadi unaingia kaburini.
Ni mtizamo wangu tu huo,ndio maana maandiko yanasema,wapeni watoto wenu majina mazuri.
Humu kuna ujumbe wa mungu ndani yake.

Tukija kwenye issue ya kuezeka.
Kwanza nakupongeza kwa kuzichanga,maana nikiiangalia nyumba itakuwa ilisimama si chini ya miaka miwili.
Nimependa sana ulivyokuwa makini katika ujenzi wa madirisha makubwa,nime Appreciate sana hilo.
Halafu kuwa makini sana na hao wanajeshi,naungana na jamaa hapo juu,wengi siku hizi nao wasanii maana wanajua watu wanawakimbilia wao,labda ukifanikiwa kupata jeshi wa kike.Ungekuwa huku Znz ningekuunganishia mdada mmoja.
Pili,kuna watu humu wameanza Pms nyingi,pia kuwa makini,Maana wewe umeomba tu ushauri na sio mambo ya Pm,huko watakuletea usanii pia,maana humu namo matapeli wamo kibaoo.

Ushauri wa Kingkong:-
Mnazi watu wanaudharau sana,lakini ni mbao zinadumu kwa muda mrefu sana.
Kwa watu wa mikoa ya pwani ikiwemo Zanzibar wanaijua Minazi ilivyo.Thamani nyingi sana za majumba zimetengenezwa kwa minazi.Na hata mahoteli ya Coast hapa ukitembelea bado mnazi umesanifiwa kwa hali ya juu sana huwezi kuamini kama ni mnazi.
Fanya uwezavyo ili uweke gharama chini,then ukitaka anasa utafanya wakati mwingine.Jiji hilo kupanga ni kama jela.Ikikaribia muda wa kulipa kodi mtu unakonda.
Huku Zanzibar kuna watu wengi sana kwa kukataa adha hiyo wamejenga nyumba nusu,kisha mtu anahamia na anaimalizia yumohumohumo ndani,na mtu akikuambia alihamia ikiwa nusu huwezi kuamini kwa jinsi ilivyo bomba.
Mbao treated ni uzushi tu,mie hapa ninapoishi fundi alisema ni treated,ila yale madudu baada ya miezi sita tu yalianza kula mbao kama wazim,kuna jamaa ndio akanipa dawa ya kupata,ila ni msiri wala hakuniambia ni nini,mie alinipa tu,maana ni mtu wa mitishamba,ila ilikuwa kama mti fulani aliusaga na kuuloweka kama wiki kisha akaniambia paka,basi hata sisimizi hasogelei.

Mie pia ni miongoni mwa wanaoamini kwamba zinatosha,cha msingi tumia basic roof set up itakusaidia,ila kama unataka anasa kwa kuweka paa na bati za kisasa hiyo utaishia njiani.Fuata ushauri wa fundi na sio wewe kufanya kujua kuliko yeye.
Ushauri kwa wana Jf:Kila mwenye familia ajaribu kujitolea kumsomesha ndugu yake yoyote VETA au sehem yoyote ya ufundi wa aina yoyote.Au hata kumsomesha Kijana unaemuona mtaani anakipaji cha ufundi hata kama sio ndugu yako nahana uwezo..
Mie wakati na jenga chanika sikupata shida,maana Fundi wa Nyumba ni Mjomba wangu,so hapa nilisave sana,na kuezeka ni mwanae,hapa pia nilisave sana gharama.Umeme alinifanyia Collegemate mwenzangu.
Yaani kuna vitu vingi sana Familia lazima iwe navyo katika miomboni kwa members.
Mfano wa Pili ni Upande wa Biashara yangu ya Carry,nikwamba Drivers wawili ni ndugu zangu yaani upande Mama yangu Mdogo,na pia kwanza walianzia kupitia Gerage miaka kibao,kwahiyo hapo sina gharama ya Fundi na gari zinatuzwa vizuri sana.Na ndio maana inanipa hamasa pia nihamishe mmoja kwenye Daladala nikiipata.

Wife pia taalum yake ni kushona,na pia nilimpeleka kozi za kutengeneza Udi,Sabuni,Ice Cream,mwezi ujao nampeleka Sido kujifundisha Kusingika asali ambapo ndio up comming project yetu.
Mtu kujifunza sio lazima ufanye kazi hiyo,ila ujuzi kuwa nao ni muhim sana.Maana huwezi amini mie Wife ni Standard Seven tu lakini she kwows much kuliko mie.Na baadhi ya vitu inabidi nipigwe shule.Please wenzangu naomba tusidharau hivi vikozi vidogo na kuona kama ni vya watu wa elim za chini,nyingi ni muhim sana na huko ipo njia ya mafanikio katika famila zetu.

Ni mtizamo wangu tu,kuna vitu vingi tunaingia gharama kubwa sana bila sababu ya msingi.

Mjomba ubarikiwe sana
 
ndo maana ukawepo mkuu, hongera! kwa bahati mbaya hata kiwanja sina ningekutafuta ndugu
 
Kama una mtu jeshini unapata hizo bati kwa nusu bei ya mtaani,hapo nadhani ukiongeza milioni 2 utapiga bati na kulipa mafundi,lakini kwa hiyo 4 bado haitoshi,usisahau pia kuna kuongeza matofali kabla hujapaua .
 
Wazo lako ni zuri sana, ila nadhani ingependeza zaidi kama ungemuunganisha na huyo fundi mwenye gharama nafuu....

Fundi wangu alitaka tsh laki saba hela ya ufundi (kupaua). Ila ni wa Morogoro
 
Hivi ni nini tofauti ya hawa mafundi wanaochaji m2.5 mpaka 3 na hawa wa Laki Saba? Au wanaangalia na sura? Anaeweza kunijibu kitaalamu nitafurahi maana utofauti ni mkubwa sana.
 
Nadhani mtoa hoja atakua amepata suluhisho la ufundi...

Wakuu...., asanteni sana kwa ushauri. Nimefanikiwa kupata design kadhaa za paa na ushauri mwingi sana. Ukweli ni kwamba hizo hela ni ndogo, nimefanikiwa kupata bati za migongo midogo 120 kutoka jeshini (rangi ya blue). Fundi ameniambia niongeze walau million 3 ili nyumba imaliziwe na kuezekwa. Kwa bahati nzuri million 3 zimepatikana na sasa mambo yanaendelea. Nitawaletea mrejesho wa nyumba baada ya kuezekwa ndani ya wiki 2. Siwezi kutaja majina ya wote walio toa ushauri na wale walio ni-PM. JF daima...Thanks....
 
Hongera sana mkuu kwa hatua hiyo kubwa mno, ninakutakia yale yote yaliyomema. Hata mimi nimefanikiwa mengi kupitia ushauri wa marafiki wa kweli kutoka JF.
 
Back
Top Bottom