Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Wanajamvi....
Nimefanikiwa kufika hapa kwenye mambo ya ujenzi pembezoni mwa jiji...., baada ya kusimama kwa muda sasa nimepata 4.2 milion kwa ajili ya kuezeka. Napenda sana zile bati za rangi zenye migongo midogo ingawa salio ndo hilo bovu. Naomba ushauri kwa haya yafuatayo:-

- Je hizo hela zinatosha? please nipeni mchanganua kwa uzoefu wenu hasa idadi ya bati, mbao, misumari, ufundi na gharama zake...,
- Ushauri wa bati nzuri na geji zake ila kwa kuzingatia hilo salio, sina zaidi.....
- Kwa mwenye kunisaidia ku-design paa naomba anisaidie, nitamtoa kidogo (pm please)
- Chochote unachoweza kunishauri nitashukuru
- Kuna mtu ananishauri ninunue bati za jeshi, hii imekaaje wakuu