Msaada: Nataka kudukua mawasiliano ya mke wangu

Msaada: Nataka kudukua mawasiliano ya mke wangu

Habari wanaBodi,

Kama nilivyotangulia kusema.

Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake.

Mara kwa mara huwa napata safari nje ya mkoa hivyo muda mwingi tunakuwa hatupo karibu. Nimewahi kusikia kwa marafiki zangu wa karibu kuhusiana na tabia zake za kuchepuka kila ninapokuwa nimesafiri.

Nimejaribu kupeleleza lakini nimekosa ushahidi wa moja kwa moja maana naogopa kukurupuka nikakuta nimemkosea ama nimetoa hukumu kimakosa.

Kama kweli hiyo tabia anayo basi naamini kupitia mawasiliano yake naweza kupata hakika ili nifanye maamuzi sahihi ya kuinusuru ndoa yangu.

Wakuu naombeni kujua namna ya kufahamu kweli ya hili kwa namna yoyote ile ila kupitia udukuzi itafanya kazi vizuri zaidi naamini.

Naombeni muongozo wenu na hata kama kuna mfanyakazi wa mtandao wa simu huku aweze kunipatia msaada, nitatunza siri na reward itakuwepo kama ataweza kunifanikishia hili.

Natanguliza shukrani wakuu.

WEKA PICHA KWANZA MKUU.
 
Kazi rahisi sana io ila tu utakiwi kua na matatizo ya presha
 
Install app kwny cm yake then ifiche! Mighty text is th best
hii inafanyaje kazi mkuu maana hata mimi nimekuwa nikitafuta namna ya kudukua simu ya mke wangu bila mafanikio.
 
Kuna app inaitwa Ms tanzania, waweza tupia hyo,

Ila unakifua,!!!? Mengine si ya kupotezea tu mkuu, kwani we ni msafi sana.!!???
 
Sisi ndo tumezidi kuwa watumwa na teknolojia za daraja la tatu...

Wenzetu wanafikiria namna ya kutengeneza magari yanayoweza kutumia nishati ya SOLAR sisi tunawaza namna ya kulinda wake zetu.
 
Utajipa presha tu ukute na ubavu wa kumuacha huna, mwambie mama nimesikia moja mbili tatu, kama ni kweli huko uendako tumia condom kama uongo Samahani mke wangu, maisha yanaendelea raha mstarehe.....
 
Utajipa presha tu ukute na ubavu wa kumuacha huna, mwambie mama nimesikia moja mbili tatu, kama ni kweli huko uendako tumia condom kama uongo Samahani mke wangu, maisha yanaendelea raha mstarehe.....
Hahahaha, asee!!
 
Mkuu kama umesoma vizuri maelezo yangu ni kwamba haijatokea tu bali nimekuwa nikisikia maneno kuhusiana na hiyo tabia yake, kwa mtu unayejali huwezi kupuuzia...
Unajua kazi ya masikio ni pamoja na kusikia,,,,Sasa huko unakosikia ndipo kwenye suluhisho,wala usiangaike na simu.
 
Unajua kupata tetesi ni vyema on my side if I were u ningepiga investigation tu dharau inaumiza sana.
 
Pole my brother ,vitu vingine ni vigumu kupata jibu huku kwenye mtandao ila Mimi ushauri wangu ni ujiulize kwa nini anachepuka je wewe una shida yoyote in terms ya kumridhisha kimapenzi au Upendo wako wewe umepungua.Je ulimchunguza vizuri kabla ya kuoana naye au hiyo tabia ameanzia kwako.Pia je mmeshakaa pamoja mkazungumza pamoja kuhusu mahusiano yenu Na msimamo wako kuhusiana Na mambo ya mchepuko?usipoweka msimamo wako sawa kama mwanamme huyo mwanamme atakusumbua sana Na naona umeishi naye miaka minne tu.Ni hayo tu
Jamani jamani
 
Una kifua??? Usimchunguze kama huna mpango wa kuachana nae
Mana ataftaye hupata,abishaye hufunguliwa,need I say more..?
 
Yaani we are always looking for what we know for sure that we wont like it.
 
Mimi girl wangu huwa nkikutana nae tu the first thing anataka simu yangu huwa namwambia one day you'll find what u are looking for and u will surely not like it.
 
Back
Top Bottom