miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
nilipewa offer mtani nikanywa kama kiwanda kinafungwa acha kabisa jana ndiyo nimepata akili.. nitakualika kirisimasiAlafu mtani wewe pasaka umekula peke yako....
nilipewa offer mtani nikanywa kama kiwanda kinafungwa acha kabisa jana ndiyo nimepata akili.. nitakualika kirisimasiAlafu mtani wewe pasaka umekula peke yako....
Hahahaa!!!.....haya mtani tuombeane uzima tuweze kufika salama huko......maana si unajua kuwa tunaishi kwa neema tu....nilipewa offer mtani nikanywa kama kiwanda kinafungwa acha kabisa jana ndiyo nimepata akili.. nitakualika kirisimasi
sawa mtani kwa neema yake tutafika tu aminaHahahaa!!!.....haya mtani tuombeane uzima tuweze kufika salama huko......maana si unajua kuwa tunaishi kwa neema tu....
Kama si kwel?Siyo presha mkuu, inauma kama ni kweli
Sasa NDOA ya nn kama wachepuka si bora niwe aloneakijua tu hapo hamna ndoa tena
khee na kweli maradhi nyao hayapo mbali .. basi amdukue tuSasa NDOA ya nn kama wachepuka si bora niwe alone
Au mpka niletewe Ukimwi ndio ntapewa medali ya uvumilivu
Watu wengi mnavizia wakati hamna uwezo wa kushuhudia....! Je, wewe unauwezo wa kushuhudia? Je, wajua kufumania sio lazima ushuhudie nyoka akiingia na kutoka shimoni?Habari wanaBodi,
Kama nilivyotangulia kusema.
Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake.
Mara kwa mara huwa napata safari nje ya mkoa hivyo muda mwingi tunakuwa hatupo karibu. Nimewahi kusikia kwa marafiki zangu wa karibu kuhusiana na tabia zake za kuchepuka kila ninapokuwa nimesafiri.
Nimejaribu kupeleleza lakini nimekosa ushahidi wa moja kwa moja maana naogopa kukurupuka nikakuta nimemkosea ama nimetoa hukumu kimakosa.
Kama kweli hiyo tabia anayo basi naamini kupitia mawasiliano yake naweza kupata hakika ili nifanye maamuzi sahihi ya kuinusuru ndoa yangu.
Wakuu naombeni kujua namna ya kufahamu kweli ya hili kwa namna yoyote ile ila kupitia udukuzi itafanya kazi vizuri zaidi naamini.
Naombeni muongozo wenu na hata kama kuna mfanyakazi wa mtandao wa simu huku aweze kunipatia msaada, nitatunza siri na reward itakuwepo kama ataweza kunifanikishia hili.
Natanguliza shukrani wakuu.
Nashukuru kwa ushauri, mimi sina tatizo lolote linaloweza kusababisha haya zaidi ya kuwa mbali naye mbali mara kwa mara. Sijawahi kushuhudia hii tabia kablaPole my brother ,vitu vingine ni vigumu kupata jibu huku kwenye mtandao ila Mimi ushauri wangu ni ujiulize kwa nini anachepuka je wewe una shida yoyote in terms ya kumridhisha kimapenzi au Upendo wako wewe umepungua.Je ulimchunguza vizuri kabla ya kuoana naye au hiyo tabia ameanzia kwako.Pia je mmeshakaa pamoja mkazungumza pamoja kuhusu mahusiano yenu Na msimamo wako kuhusiana Na mambo ya mchepuko?usipoweka msimamo wako sawa kama mwanamme huyo mwanamme atakusumbua sana Na naona umeishi naye miaka minne tu.Ni hayo tu