Msaada: Nataka kudukua mawasiliano ya mke wangu

Msaada: Nataka kudukua mawasiliano ya mke wangu

Mkuu chakii nakushauri wacha kabisa tena kwa haraka kufuatilia mke wako wa ndoa hakika utakayoyakuta huko hayatakuwa mazuri kwako na kwa ndoa yenu hata kidogoo...Kama umepata tetezi mweleze wife black n white kuwa nimepata tetesi 1,2,3 na mwambie kama ni kweli aache mchezo huo mara moja....Wake zetu niwakujengewa uwezo wa kujicontrol wao wenyewe especially kama wife ni mrembo atasumbuliwa tu sasa we utakuwa nae kila maala cha msingi muonyeshe unamwamini na hautegemei kuja kugundua otherwise....Kama hutaki huu ushauri wacha ila na mfano hai wa jamaa ameishia magereza kwa mambo haya haya yakulinda mashimo yasiyo jaa toka enzi na enzi...
Akikuelewa itakua jambo la busara
 
Acha kumfuatilia mbona ww ukiwa huko unachepuka tuu, by then hata angechupuka miara 100 bado ni mali yako halali tu
 
Mimi nakushauri usifanye hicho kitu utakuja kujuta aisee
 
Habari wanaBodi,

Kama nilivyotangulia kusema.

Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake.

Mara kwa mara huwa napata safari nje ya mkoa hivyo muda mwingi tunakuwa hatupo karibu. Nimewahi kusikia kwa marafiki zangu wa karibu kuhusiana na tabia zake za kuchepuka kila ninapokuwa nimesafiri.

Nimejaribu kupeleleza lakini nimekosa ushahidi wa moja kwa moja maana naogopa kukurupuka nikakuta nimemkosea ama nimetoa hukumu kimakosa.

Kama kweli hiyo tabia anayo basi naamini kupitia mawasiliano yake naweza kupata hakika ili nifanye maamuzi sahihi ya kuinusuru ndoa yangu.

Wakuu naombeni kujua namna ya kufahamu kweli ya hili kwa namna yoyote ile ila kupitia udukuzi itafanya kazi vizuri zaidi naamini.

Naombeni muongozo wenu na hata kama kuna mfanyakazi wa mtandao wa simu huku aweze kunipatia msaada, nitatunza siri na reward itakuwepo kama ataweza kunifanikishia hili.

Natanguliza shukrani wakuu.
Ukimfuatilia sana bata huwezi kumla. Kama unataka ndoa yako idumu, achana na habari za kumfuatilia mkeo. Vinginevyo hutaki kuendelea kumwona. Asilimia kubwa ya wanandoa wanachepuka.
Asikudanganye mtu, siku unapomfumania accidentally hapo ndo kubali kuwa anachepuka. Kwa sasa amini kwamba yuko sawa.
 
Habari wanaBodi,

Kama nilivyotangulia kusema.

Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake.

Mara kwa mara huwa napata safari nje ya mkoa hivyo muda mwingi tunakuwa hatupo karibu. Nimewahi kusikia kwa marafiki zangu wa karibu kuhusiana na tabia zake za kuchepuka kila ninapokuwa nimesafiri.

Nimejaribu kupeleleza lakini nimekosa ushahidi wa moja kwa moja maana naogopa kukurupuka nikakuta nimemkosea ama nimetoa hukumu kimakosa.

Kama kweli hiyo tabia anayo basi naamini kupitia mawasiliano yake naweza kupata hakika ili nifanye maamuzi sahihi ya kuinusuru ndoa yangu.

Wakuu naombeni kujua namna ya kufahamu kweli ya hili kwa namna yoyote ile ila kupitia udukuzi itafanya kazi vizuri zaidi naamini.

Naombeni muongozo wenu na hata kama kuna mfanyakazi wa mtandao wa simu huku aweze kunipatia msaada, nitatunza siri na reward itakuwepo kama ataweza kunifanikishia hili.

Natanguliza shukrani wakuu.
Kama ni beautiful lady utasikia mengi toka kwa marafiki zako!
 
Simple, fanya ziara za kushtukiza..., au tafuta boda boda mwaminifu mpe kazi afuatilie, udukuzi ni kinyume na sheria
 
Mapenzi yalikufa tangu tangu tupu zilipoanza kuthaminishwa na fedha....yamebaki maigizo tu....
 
Back
Top Bottom