Chaki unaenda kuvunja ndoa. RIP ndoa
japo nimecheka sana ila huu ni ukweli mtupu
Chaki unaenda kuvunja ndoa. RIP ndoa
mkuu kwan hautumii pray store? au mpaka uende kwenye internet?Apna mkuu ii kitu kujua kwake ni lazima uwe na aidia ya kua kuna ishu ya namna hii vinginevo ua akuna ishara yoyote ile inayoweza kumshtua mtu kua kuna kitu cha tofauti mana aplication yenyewe aionekani
sasa kaka ww nia yako nini ? unataka kuvunja ndoa au ? naona unataka kuinunua kesi kwa hali na maliHabari wanaBodi,
Kama nilivyotangulia kusema.
Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake.
Mara kwa mara huwa napata safari nje ya mkoa hivyo muda mwingi tunakuwa hatupo karibu. Nimewahi kusikia kwa marafiki zangu wa karibu kuhusiana na tabia zake za kuchepuka kila ninapokuwa nimesafiri.
Nimejaribu kupeleleza lakini nimekosa ushahidi wa moja kwa moja maana naogopa kukurupuka nikakuta nimemkosea ama nimetoa hukumu kimakosa.
Kama kweli hiyo tabia anayo basi naamini kupitia mawasiliano yake naweza kupata hakika ili nifanye maamuzi sahihi ya kuinusuru ndoa yangu.
Wakuu naombeni kujua namna ya kufahamu kweli ya hili kwa namna yoyote ile ila kupitia udukuzi itafanya kazi vizuri zaidi naamini.
Naombeni muongozo wenu na hata kama kuna mfanyakazi wa mtandao wa simu huku aweze kunipatia msaada, nitatunza siri na reward itakuwepo kama ataweza kunifanikishia hili.
Natanguliza shukrani wakuu.
playstoremkuu kwan hautumii pray store? au mpaka uende kwenye internet?
Asisahau kuleta mrejesho na pichaNajua uyo ni mke wako awez kukunnyima simu yake japo dakka tano ukishachukua ingia browser kama kawaida andika mobile tracker itakuja shuka chini kidogo alafu click io mmobile tracker ila b4 akikisha umeenda kweny seting ili uruusu aplication from other resources iwe on alafu ndo uendelee kisha ukishaidowlod utainstall sasa pale unapoinstall watakuletea uingize email yako ww ambapo ivo unavotaka kuvipata vitumwe kwenye io email alafu ukisharegster itafunguka kuna vtu ua inajiweka on yenyewe ila kuna vingine inabid uweke on kama vile audio record na sehem ya picha ukishaweka on bas we finish subiri matokeo kama ni mchepukaji mzuri siku io io unamrudisha kwao kwa utachokiona
Uzinzi n kitu kibaya sana kwenye ndoa.ina madhara sana.Alafu ukijua anachepuka nn kifate? Mnajitafutiaga presha tu. Na hao wanaokwambia hawakutakii mema dadek zao
Ushauri wangu ni kwamva hizo applications zote hazitakusaidia kitu,chakufanya sasa hivi kwanza kuwa nae karibu sana na wsla hiyo simu yake usiiguse na wala usionyeshe dalili yoyote ya kumchunguza,nitakupm ili nikupe njia rahisi sana na utamkamata liveHabari wanaBodi,
Kama nilivyotangulia kusema.
Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake.
Mara kwa mara huwa napata safari nje ya mkoa hivyo muda mwingi tunakuwa hatupo karibu. Nimewahi kusikia kwa marafiki zangu wa karibu kuhusiana na tabia zake za kuchepuka kila ninapokuwa nimesafiri.
Nimejaribu kupeleleza lakini nimekosa ushahidi wa moja kwa moja maana naogopa kukurupuka nikakuta nimemkosea ama nimetoa hukumu kimakosa.
Kama kweli hiyo tabia anayo basi naamini kupitia mawasiliano yake naweza kupata hakika ili nifanye maamuzi sahihi ya kuinusuru ndoa yangu.
Wakuu naombeni kujua namna ya kufahamu kweli ya hili kwa namna yoyote ile ila kupitia udukuzi itafanya kazi vizuri zaidi naamini.
Naombeni muongozo wenu na hata kama kuna mfanyakazi wa mtandao wa simu huku aweze kunipatia msaada, nitatunza siri na reward itakuwepo kama ataweza kunifanikishia hili.
Natanguliza shukrani wakuu.
Mchepuko ktk ubora wake.grow up bhana!!! kama anakupenda na hakuonyeshi sidhani kama una haja sana ya kufukunyua mpaka masimu....wewe tulia na play your role properly ili mwisho wa siku mle ndani ya red handed 40 tit for tat akose la kujitetea!!!
ebu tulia mwanaume ndoa kitu cha thamani sana...usikurupuke kwa maamuz ya rafikizo....lzm uwe na akili ya ziada umfuatilie na utamdaka tu
Najua uyo ni mke wako awez kukunnyima simu yake japo dakka tano ukishachukua ingia browser kama kawaida andika mobile tracker itakuja shuka chini kidogo alafu click io mmobile tracker ila b4 akikisha umeenda kweny seting ili uruusu aplication from other resources iwe on alafu ndo uendelee kisha ukishaidowlod utainstall sasa pale unapoinstall watakuletea uingize email yako ww ambapo ivo unavotaka kuvipata vitumwe kwenye io email alafu ukisharegster itafunguka kuna vtu ua inajiweka on yenyewe ila kuna vingine inabid uweke on kama vile audio record na sehem ya picha ukishaweka on bas we finish subiri matokeo kama ni mchepukaji mzuri siku io io unamrudisha kwao kwa utachokiona
Sijawahi na wala sitakaa niisaliti ndoa yangu mkuu..Kwanza ww ni msafi yaani huchepuki ukienda uko mikoani sio kuvalia njuga ya mwenzio afu yako unaona kawaida ukiona anafanya usikute hao waliomwambia walimwambia na yeye unayofanya wewe jitafakari kabla hujachukua hatua
Vizuri na ni vyema mie naona njia nzuri muulize yeye mwenyewe kwanza uliyoyapata ambiwa ili siku ukimfumania roho imuumeSijawahi na wala sitakaa niisaliti ndoa yangu mkuu..