Msaada: Nataka kuanza uvuvi!!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
14,551
31,775
Wakuu baada ya kukusanya mtaji kidogo nimeona vyema niwekeze katika uvuvi(Zowa Nyasa). Nafikiria kununua engine ya 15hp kwa kuanzia!!

Nimeshaulizia utaratibu wa vibali pia namna ya kupata nyavu, swali langu ni kuhusu ukubwa wa boat ambao utaendana na hii engine ya 15hp!!

Natanguliza shukrani!!
 
Back
Top Bottom