Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 339
Penye nia pana njia.
mkuu mi natoboa sitobolewi
duh,kapa ushapata soko!wapo wateja wako humu,subiria pm zakutoshami nakula
kama huna cha kusema pita tu
ila kabang tamu jaman khaa
wasalaam ndugu zangu wakristo na watukufu waislam,,,,,,,,,,,,
kwa mda mrefu nimekuwa ni mpenzi wa nyama ya nyiongeza au kisamvu cha kopo almaarufu 071,,,,,,,,,
kwa kweli nimeona ni maisha ya dhambi na kwa dhati nataka kuacha nifanyeje?
nakala kwa ndugu zangu waheshimiwa
Madame B,,,,,, Heaven on Earth,,,,,,, Evelyn Salt,,, asakuta same, ,,,,,, Lady doctor ,,,,, lara 1 watu8, ,,,,,, Baba V na wana MMU WOOTE natanguliza shuklani