smartmgabe
Member
- Nov 15, 2013
- 25
- 6
pole kaka na hongera kwa kuelewa mchezo huo ni dhambi! zingatia yafuatayo yatakusaidia
wewe ni mtumwa wa dhambi na ukichelewa italeta mauti kwako so! tubia dhambi hiyo na badili mwelekeo wa maisha yako kwa kumpokea yesu maishani mwako yeye awezaye kutuokoa na dhambi zetu zote
pili badili/achana na rafiki zako wote wenye tabia hiyo
tatu tambua umeshakua mtumwa wa dhambi hiyo so! tafuta mbadala wa kitulizo cha moyo mimi ningekushauri uanze kusoma neno la mungu/biblia kwani imedhibitika kubadili tabia za watu wengi duniani
nne tafuta kikundi cha maombi ili kikusaidie kuvunja chaini/nguvu za shetani katika tendo hilo
mwisho consider u have my prayer 2 help u 2 change ua direction!!!!!!!!!!!!!! NAKUPENDA NDUGU