mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,960
- 2,464
Wadau mimi nafanya kazi kwa shirika moja la microfinance, shirika hili sever zake ziko uholanzi, kutokana na sababu hiyo tunahitaji internet ya kasi zaidi itayowezesha zoezi la uingizaji data liwe la haraka zaidi, kwa sasa tunatumia TTCL, kwa kweli tumekuwa tukikwama sana na huyu ISP, naombeni wadau msaada wenu kwa anayejua ni ISP gani ambaye atanipa hata atleast 2mbps au zaidi, au kama anatoa dedicated kwa bei nafuu na anaweza kunipa huduma yake hapa iringa. Nawasilisha