ngina rema
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 215
- 81
binafsi ningekushauri utafute jina la binti yako wewe mwenyewe...
Wakati mwingine si vyema kuwashirikisha watu kila jambo hata kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo...
Ulimwengu huu umejaa mauzauza, wapo watu wabaya ambao hufanya kazi zao katika hali isiyoelezeka kirahisi...hawakawii kufanya manuizo juu ya jina ataloliandika hapa nawe kuvutiwa nalo...
Huu ni ushauri tu wa kiimani nimejaribu kukugusia, sio lazima sana uufuate kama kwako hutaona una umuhimu...
Mkuu muite Ivy, it is a unique and nice name
cjakosea kukuchagua kuwa kaka.. Ushauri wako ni mzuri na wa kipekee mno.. Stay blessed bro....
Shukrani kwa hiyo special compliment...
Amen!!
ngoja nione.baba gaston mama moureen sijue nitaunganishaje?
Changudoa.
Changudoa.
atakuwa gasmon au gasmo very unique
ushindwe kabisa na uteketee, lo!!!!!!!!!!!!!
Muite Mercy awe wajina wa mwanangu.
Umefurahi kupatanmtoto?? Basi muite Joy ( furaha iliyopitiliza)
Bt u may be younger than I am.. Nipm ur age if u don't mind my kaka... Othetwise nyie watu hapo am not coating him.. Ok...