Msaada: Natafuta Host iliyo na Unlimited Storage & Brandwith kwa shilingi 10k-15k

blogmaster

Senior Member
Aug 15, 2015
167
74
Husika kichwa hapo juu nahitaji kuhost website lakin nimezunguka mitandao mingi naona wanalipia kwa mwaka lakin mm bajeti yangu haitoshi msaada kwa hilo please ni sehemu gani naweza kuhost website na niwe nalipia kila mwezi
 
Utapata mkuu,ingawa utatakiwa ulipie domain kama huna then hosting utalipia kwa mwezi.Kama umehost tayari utapata offer ya FREE migration na FREE first 3 months kwa 145K tu.
 
Usitegemee unlimited iwe unlimited kweli kama una traffic ya aina yoyote.
 
Jibu ni hapana.. So hakuna unlimited ila no limit ndio neno mwafaka, ikikaribia kujaa unaongeza nyengine ...
 
Husika kichwa hapo juu nahitaji kuhost website lakin nimezunguka mitandao mingi naona wanalipia kwa mwaka lakin mm bajeti yangu haitoshi msaada kwa hilo please ni sehemu gani naweza kuhost website na niwe nalipia kila mwezi
Nenda hostgater.com ni $0.99 boss
 
Jibu ni hapana.. So hakuna unlimited ila no limit ndio neno mwafaka, ikikaribia kujaa unaongeza nyengine ...
Mkuu nilitaka nikusaidie but ngoja nkae kimya , unauelewa finyu sana kuhusu hivi vitu.Jifunze kuhusu cloud servers then ukimaliza njoo nikuelekeze.Nisawa na mtoto unapomwambia 0-1= -1 hakuelewi
 
No one said anything about cloud servers, kwenye traditional shared hosting hakuna unlimited usidanganye watu
 
Chukua mfano wa computer yako. Wewe una unlimited storage? Naamaanisha hard disk yako..
 
Pengine sijasoma but I know for sure that machine yako haina unlimited storage same applies to this servers, in computer tu nazo
 
Wewe in reseller Mimi na manage server zangu mwenyewe so stop the donkey sh***t
 
Back
Top Bottom