Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

Tunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015.

Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu.
Kwenye wasifu wake asisahau kuweka umahiri wake wa kucheza filamu za XXXX....pornhub
 
Tunaomba kujua CV ya Ndugu Gwajima ambaye ni Askofu na mwanasiasa. Huyu ndugu amekuwa maarufu sana kwa miaka ya hivi karibuni hasa kuanzia 2015.

Nimetamani kujua elimu yake kwa ujumla tujue kama ni msomi kweli au ujanja-ujanja tu.
Elimu ya Gwajima imenyooka tofauti na wachaga wanaounga unga!
 
Huyu ni msomi sana

2000-2003 PhD in Theological Studies, University of Chicago
1999-2000 Postgraduate diploma in Western Religious History, Stockholm School of Theologies
1996-1998 Masters degree in Ancient Religions, Tel Aviv university
1992-1995 Bachelors degree in Theology and History of Judaism in relation to modern religions, London School of theology
 
Haka ka CV hakana elimu ya msingi wala sekondari, kazi wala uzoefu kazini, hakuna publications yaani ni utopolo tupu.
 
Shule ya msingi wapi na mwaka gani?
Sekondari wapi na mwaka gani?
 
CV za kisanii hizi...
 
Mie namsikia sikia NIMETUNGA VITABU 5 VYA LUGHA YA KIJAPANI
nadhani ni CV pia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbunge wa Kawe mtarajiwa. Tanzania ya kijani inakuja.
 
Unataka umpe kazi gani, maana kazi ya uinjilisiti amesanda na kazi ya ubunge amepigwa chini tayari!!
 
Kama ni hivyo Gwajima aache kufanya kazi za watu aendelee na kanisa lake, hakuna atakayetaka cv yake
 
Mkuu,

Epuka kuuliza CV za watu, mwisho utauliza ya Mwenyekiti. Hapo ndipo utajikuta umeonja sumu. SHAURI YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…