Msaada nashindwa pokea meseji kwenye simu yangu

Msaada nashindwa pokea meseji kwenye simu yangu

Nawezaje itoa Hangeout if imewekwa kama bloatware app(pre-installed) so far available kingroot to root my phone haijatoka!.
tumia system app remover itatoka..au nobloat
 
most of time hili tatizo husababishwa na Tamaa za google za kutaka kucontroll kila unachofanya.

nenda setting za message (huko ulikoangalizia centre no) angalia default msg app sio hangout? kama ni hangout itoe eka sms/messaging kama default app
Mh u mean Google kuchunguza mawasiliano yangu mkuu
 
Mkuu @Chief_Mkwawa samahani kuwa nje ya mada nina simu ya Window Nokia model 620 RM-846 haiwaki mpaka mwisho inaishia katikati ni nini tatizo?
maybe os imecorupt, iformat au eka upya software yake
 
Ntaweza kuiformat vipi Mkuu ikiwa haiwaki kwa kumalizika au una maana katika kompyuta?
-zima simu
-bonyeza button ya kupunguzia sauti
-shikilia button ya kupunguzia sauti huku unabonyeza button ya kuwashia kama sekunde tatu hivi, ikiwaka achilia ya kuwashia huku ya kupunguza sauti bado umeishikilia

ikiwaka kabisa itakuwa tayari imejiformat
 
Futa sms zote kwenye cm then tuangalie kama tatizo limeisha ama la
 
-zima simu
-bonyeza button ya kupunguzia sauti
-shikilia button ya kupunguzia sauti huku unabonyeza button ya kuwashia kama sekunde tatu hivi, ikiwaka achilia ya kuwashia huku ya kupunguza sauti bado umeishikilia

ikiwaka kabisa itakuwa tayari imejiformat
Asante MKUU wacha nitafute batan mana zilichomoka ntaleta mrejesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom