Msaada: Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

vadrick

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
64
Reaction score
41
Ndugu zangu naombeni ushauri mliopo kwenye relation kwa muda mrefu kiukweli kabisa namuonea wivu sana girlfriend wangu hususan kwenye kumuamini simuamini hata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikuwa anaimbisha.

Inilikuja kumuuliza akasema ni kweli aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamini kabisa ananipenda nampenda nifanyaje wivu unipotee

Natanguliza shukran zenu.
 
Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
"Never ever trust a woman" women are like car accessories to men we can do without them.
 
Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zetu sio nzuri sana na wala mbaya sana, sijui wewe?
 
Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujaanza kupenda Jarbu kwanza kujifunza kuandika...... Muda unaoutumia ktk Mapenzi unaweza kuwekeza ktk kujifunza kuandika.
 
Ndungu zangu naombeni ushauli mliopo kwenye relation kwa muda mlefu kiukwel kabisa namuonea wivu sana girls friend wangu hususani kwe nye kumuamin simuamin ata kidogo ila sijawahi mfumania wala kumkuta na JAMAA ila kuna tetesi tu kuwa kuna JAMAA alikua ana imbisha. Inilikuja kumuuliza aka sema nikwel aliwahi kunitongoza ila nikawa na musanga danganya tu ila nimeshindwa kumuamin kabisa ana nipenda na mpenda nifanyaje wivu unipoteee natanguliza shukran zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna transformation generation inaendelea, sasa vigezo vya mahusiano ni pesa, kama unazo endelea, kama huna ni vizuri uwekeze akili yako kwenye financial stability, maana huyo mtaachana tu nakwambia.
 
Attachments

  • 1649955135857.mp4
    1 MB
Back
Top Bottom