Msaada: Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

Msaada: Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

Dah! Pole sana mkuu. Nahisi maumivu ni makali umeandika huku ukiwa unalia machozi. Haya futa machozi mzee baba uandike vizuri.
Mwanamke hachungwi. Fanya majukumu yako, piga mshedede fuata mambo yako. Wivu waachie kwenye tamthilia.
 
[emoji16][emoji16] fresh blooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakufa vibaya sana ukiendekeza wivu

Nobody is perfect na kupenda waachie wakorea..

Jikite kutafuta hela uukimbie umasikini kwasabu ndio utakaofanya uachwe...

Hakuna Demu wa mtu,,, hapo ni zamu yako tu so itumie effectively.... Akitokea aliyekuzidi alichokupendea demu wako.... Atamchukua..

Ishi kwa imani hio na utadumu.
 
Pole sana hapo ujue kabisaaaaaa kuna kitu lazima kinaendelea kati yao.Kuwa tayari kwa lolote anza kumtoa moyoni mapema kabla ajakitoa yeye ghafla
 
Kufa kifo cha mapenzi ni uzembe
 
"Never ever trust a woman" women are like car accessories to men we can do without them.
Very true, "never trust a woman" this is rule number 1. Rule number 2, "never forget rule number 1"...
 
Back
Top Bottom