Msaada: Naomba mwenye ramani nzuri ya nyumba!!

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,552
12,422
Wapendwa katika JF, habari za Muda huu!

Kutpitia JF naomba mwenye ramani ya Nyumba ya kisasa Self Contained designed kwa ajili ya Familia yaani 3 Bedrooms Rooms (1 Room ikiwa ni master Bed room), Kitchen & Kitchen, Public Barth Room & Toilet. Ntashukuru na kufurahi ikiwa nitapata hata angalau sketch 2 au 3 kwa ajili ya selection lakini pia kama masuala ya cash we can talk.

Asante WanaJF kwa Ushirikiano.
 
Ingia hapa mkuu:

Home Design
 
Ok, don worry mi ni mwanafunzi wa mbeya institute ndo nasomea hiyo architecture so mi ntakuchorea hyo ramani.
 
mkuu jaribu Ku-google house plans, zipo nyingi sana baada ya kupata unayotaka peleke hiyo kwa mchora ramani ili aifanyie mabadiliko kulingana na unachotaka..
 
Ok, don worry mi ni mwanafunzi wa mbeya institute ndo nasomea hiyo architecture so mi ntakuchorea hyo ramani.

Asante sana Jitimayi utani-pm ukiwa tayari ili nikupe email address yangu!!
 
Ninaramani ambayo tayari imefanyiwa mchanganu wa ngarama na mahitaji yote mpaka kuikamilisha nyumba. But hiyo sio free,
 
Back
Top Bottom