Msaada wa ramani ya nyumba hii

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Naomba ramani ya Nyumba yenye sifa hizi.

Hela yangu ndogo sana. Iwe na

•Masters
•Room 2
•Sebule

Mwenye ramani mzuri au alishawahi kujenga nyumba kama hii naomba tu share experience hapa za gharama na vitu vingine.

Budget yangu mimi ni 15 Million, i don't know kama itatosha.
 
Hiyo 15ml ukijibana sana utainua boma bila kuezeka. Ukitaka uezeke kwa hiyo 15ml itakubidi ujenge vyumba vidogo sana kiasi kwamba hata room za hostel za wanafunzi zitakuwa kubwa. Kama ndiyo pesa pekee uliyonayo, basi, jenga chumba na sebule, inaweza kumaliza.
 
Daah, sawa Mkuu
 
Acha kutisha watu mkuu.
15ml iishie kunyanyua boma hiyo nyumba ina ukubwa gani ?
 
Check hii

Source: mtandaoni
Screenshot_20230722_220645.jpg
 
Back
Top Bottom