huyu kweli jau, nenda kwenye browser yako serach create apple id then itafunguka click the first result fuata maelekezo ya kutengeneza hiyo apple id then signin kwenye simu
huyu kweli jau, nenda kwenye browser yako serach create apple id then itafunguka click the first result fuata maelekezo ya kutengeneza hiyo apple id then signin kwenye simu
Naanza kuhisi kuna tatizo upande wa icloud nina siku 2 najaribu kufungua akaunti mpya inagoma. Nimejaribu kwenye simu na kompyuta pia ila imegoma. Kila mara inaniambia nijaribu baadae kutemgeneza akaunti, muda mwingine inaishia kuzunguka unapobonyeza next ili kupata code kwenye email.
Nimejaribu hata kubadilisha email na namba ya simu ila haikubali.