Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
hahahaha.kweli usemayo kaka ila si mbaya nikisaidiwa,SAFARI 1 HUANZISHA NYINGINE:glasses-nerdy:mkuu ungeweka angalau chochote ungewatia watu moyo wa kukutengenezea tena ungezipata nyingi tu akachagu. wengi wamepata logo humuhumu kuna wataalamu wazuri ngoja waje mtaelewana tu
mkuu contact hizi hapa raysiza@desiamore.com
We vipi usaidiwe mwenzio amesoma, amefikiri, ametumia muda wake, then usaidiwe. We kweli mtanzania. Kila kitu mpaka tusaidiwe.hahahaha.kweli usemayo kaka ila si mbaya nikisaidiwa,SAFARI 1 HUANZISHA NYINGINE:glasses-nerdy:
Hahahahahahahah,,,,,,,,,kweli kaka,ila ku-volunteer:target:mkono mtupu haulambwi!!
sawa shekh,me ndo mbumbumbu kabisaOK si mjuzi sanaa wa nitakutumia ukiiona ndipo tutazungumza mengine
asante sana mkuu nimekutumia e-mailView attachment 81521
Haya hiyo hapo mkuu,kazi kwako.
mkono mtupu haulambwi!!
hizi kazi za bure mfanye nyie, mie saa hizi nawaachia nyie, watu wanalipwa hela nyingi tu halafu tunawasaidia bure tena wanachagua logo,
hahahaha C6 akitokea mtu akahitaj msaada msaidie bwana maana hao wa juu wameshindwa kusaidiana na sisi KINA KAJAMBA NANI TUKITUPANA ITAKUWAJE?:glasses-nerdy:hizi kazi za bure mfanye nyie, mie saa hizi nawaachia nyie, watu wanalipwa hela nyingi tu halafu tunawasaidia bure tena wanachagua logo,