Napigilia msumari hapa. Hiyo ni kazi ndogo sana. Aende hata zahanati watayatoa kwa bomba ndani ya sekunde moja tu.Nenda hospital ukatolewe na bomba.
Inawezekana yamezuiwa na nta ya sikio mkuu, vinginevyo yangekwishatoka. Nimemshauri aende zahanati wayavute kwa bomba ndani ya sekunde moja tu!Naona wadau wamechukulia utani, hadhi ya jf imeshuka sana, imekuwa kama forum ya watoto tena wanafunzi wa primary.
tafuta pamba zile za masikioni, ingiza taratibu mpaka uyafikie, ukiyafikia tu basi umetatua tatizo mkuu.
NakaziaNapigilia msumari hapa. Hiyo ni kazi ndogo sana. Aende hata zahanati watayatoa kwa bomba ndani ya sekunde moja tu.
YessKwelii eeeh
Yeah..dawa ya moto ni motoWeka maji mengine yatatoka pamoja.
Ila wewe!!Nenda kwenye dryer la saluni
Halafu waambie unataka kukausha nywele halafu watakuingiza kichwa kwenye dryer hakikisha hadi masikio yanaingia
Hapo ukitoka utakuwa umekauka vizuri tu
Acha kudeka mkuu😁Natak nikamwone doctor
Pole sanaJamani wadau maji yameingia kwenye sikio tangu juzi na hayataki kutoka kabisaa yanasumbua sijifeel poa yaani naomba msaada leo siku ya tatu na hayatokii kabisa.
Nashindwa kuelewa watu sayansi ndogo ndogo kama hizi hawaelewi.Weka maji mengine yatatoka pamoja.
Ukiwa umesimama geuza kichwa upande sikio lenye maji likiwa juu, chukua maji masafi kwa kiganja cha mkono ongeza kwenye sikio lenye maji then piga piga kichwa juu kidogo ya sikio gently kwa mkono huku ukiwa unaruka ruka ukiendana na steps za mipigo ya kwenye sikio kama seconds 4 hivi au 5 then Kwa haraka geuza kichwa sikio lenye maji liangalie chini utasikia maji yenye vuguvugu yanatoka na utapata relief hapohapo.Jamani wadau maji yameingia kwenye sikio tangu juzi na hayataki kutoka kabisaa yanasumbua sijifeel poa yaani naomba msaada leo siku ya tatu na hayatokii kabisa.
Ingiza huko mengine alafu kunja shingo ruka juu shuka kwa kishindo yatatoka na moto harari kama yametoka kwenye hiter ya 2000w😆Jamani wadau maji yameingia kwenye sikio tangu juzi na hayataki kutoka kabisaa yanasumbua sijifeel poa yaani naomba msaada leo siku ya tatu na hayatokii kabisa.
EnemerNenda hospital ukatolewe na bomba.
Lalia upande huo kwa siku kadhaa yatatoka yenyewe.Jamani wadau maji yameingia kwenye sikio tangu juzi na hayataki kutoka kabisaa yanasumbua sijifeel poa yaani naomba msaada leo siku ya tatu na hayatokii kabisa.
inamisha kichwa kwa chini kwa upande wa sikio lenye hayo maji kisha kuwa kama unajigonga gonga na mkono, yatatoka maji ya moto,Jamani wadau maji yameingia kwenye sikio tangu juzi na hayataki kutoka kabisaa yanasumbua sijifeel poa yaani naomba msaada leo siku ya tatu na hayatokii kabisa.
Nakushauli uwonene na dactari specialist wa masikio. Usitueee ufundi ukatoboa ngoma ya sikio. Nilikuwa na tatizo kama lako..nilichokoneaa baadaee ikiwa itoaa uchafu..kuckia ikiwa kwa tabu sana. Nikapata matibabu pale Hindu mandali posta ila miaka sana imepita ilikuwa 2006 . Niliwekea Bomba sikuoni napuliziaa maji.. takataka zote zikatoka kwny bakuli ..Toka apo nikapona..Jamani wadau maji yameingia kwenye sikio tangu juzi na hayataki kutoka kabisaa yanasumbua sijifeel poa yaani naomba msaada leo siku ya tatu na hayatokii kabisa.
Sasa itakuajee? LolEnemer
Lina presure hilo