Msaada: Naomba kujuzwa njia rahisi mtu akitokea Mpanda Katavi kwenda Morogoro

Hapo kwa gari ndogo tu wanakuambia ni 970 km kupitia Tabora masaa km 14
ila kupitia Sumbawanga Mbeya ni 1191 masaa 18
bora pitia Tabora kwa Treni
1614056018289.png
 
Wakuu habari za majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku!? Mungu ni mwema natumai Mu wazima..!!

Naomba kusaidiwa njia (route) rahisi kwa mtu anayetoka Mpanda Katavi kwenda Morogoro, Niko na ndugu yangu anataka kwenda Moro akitokea Mpanda. Njia ninayoijua vizuri ni kutokea Sumbawanga kupitia Mbeya na Iringa, kama kuna njia Nzuri ya kutokea Mpanda hadi Dodoma then Moro naomba kusaidiwa maelekezo ili nimfikishie ndugu yangu Ahsante.
Ya mbeya
 
Ingia website ya Tanroads utakuta distance chart atapata umbali kwa njia zote
Sina shida ya kwenda Tanroad kujua distance , Tanzania nimeitembea yote sijaacha sehemu, na distance kwangu ni ndo maisha yangu .
Nilikuwa namjibu Yule aliyekuwa akimtambia mwenzake kuwa google ndo kila kitu.

Uwe na asubuhi njema mkuu
 
Wakuu habari za majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku!? Mungu ni mwema natumai Mu wazima!

Naomba kusaidiwa njia (route) rahisi kwa mtu anayetoka Mpanda Katavi kwenda Morogoro, Niko na ndugu yangu anataka kwenda Moro akitokea Mpanda.

Njia ninayoijua vizuri ni kutokea Sumbawanga kupitia Mbeya na Iringa, kama kuna njia Nzuri ya kutokea Mpanda hadi Dodoma then Moro naomba kusaidiwa maelekezo ili nimfikishie ndugu yangu Ahsante.
chukua basi la Katavi mpaka Mbeya, then chukua Sauli from Mbeya to Moro, kwisha kazi,

au nenda mpaka sumbawanga chukua Golden deer/majinjah ya Dar shuka zako Moro
 
Yes, kabla ya kufika mkoa wa Iringa lazima upite mkoa wa Njombe kama unatokea Mbeya.
 
Wakuu habari za majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku!? Mungu ni mwema natumai Mu wazima!

Naomba kusaidiwa njia (route) rahisi kwa mtu anayetoka Mpanda Katavi kwenda Morogoro. Niko na ndugu yangu anataka kwenda Moro akitokea Mpanda.

Njia ninayoijua vizuri ni kutokea Sumbawanga kupitia Mbeya na Iringa, kama kuna njia Nzuri ya kutokea Mpanda hadi Dodoma then Moro naomba kusaidiwa maelekezo ili nimfikishie ndugu yangu.

Ahsante.
Panda Mpanda-Tabora-Itigi-Manyoni-Dom then Moro
 
Wakuu habari za majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku!? Mungu ni mwema natumai Mu wazima!

Naomba kusaidiwa njia (route) rahisi kwa mtu anayetoka Mpanda Katavi kwenda Morogoro. Niko na ndugu yangu anataka kwenda Moro akitokea Mpanda.

Njia ninayoijua vizuri ni kutokea Sumbawanga kupitia Mbeya na Iringa, kama kuna njia Nzuri ya kutokea Mpanda hadi Dodoma then Moro naomba kusaidiwa maelekezo ili nimfikishie ndugu yangu.

Ahsante.
Bila shaka yo yote wewe ni mkimbizi haramu!
 
Back
Top Bottom