Kwenye ubora hapo sijajua huwenda tusubiri wajuzi wa hivyo vifaa kuna wakati fulani nilitaka kununua ila nikaja kuahirisha.Safi sana mkuu. Natamani kujua Majina ya machine bora! Mana Wachina wamejaza sokoni zenye na zisizo na ubora
Nataka kununua mkuu ili kukabiliana na changamoto za kilimo cha mvua, kwa mahitaji ya bush, nahitaji machine 3 complete! Naogopa kuingia chaka afu nkabaki nalia tu!Kwenye ubora hapo sijajua huwenda tusubiri wajuzi wa hivyo vifaa kuna wakati fulani nilitaka kununua ila nikaja kuahirisha.
Hapana tulia utapata, ngoja wanakuja wajuvi.Nataka kununua mkuu ili kukabiliana na changamoto za kilimo cha mvua, kwa mahitaji ya bush, nahitaji machine 3 complete! Naogopa kuingia chaka afu nkabaki nalia tu!
Unarogwa, hayo mambo nina uzoefu nayo sana nishawahi kuona mtu kageuzwa ndondocha kisa Magunia ya wakulima.Ni bora Mkuu! Mana nikienda chaka afu nikapata machine vimeo, ndg zetu kijijini watajua nimewapiga tu! Hawataamini kama nimeingizwa chaka na wajanja!
Ni kweli sio kuwa nakutisha ila umakini tu unatakiwa.Ushantisha Mkuu!
Msaada:
Naomba kujua Brands nzuri za Water Pump, Gharama zake kwa maana ya bei na upatikanaji wa vipuri vyake! Pia ningependa kujua wapi zinapatikana kwa nyie wa DSM huko! Nipo Kibakwe huku!