Msaada, naomba kufahamu matumizi ya black list kwenye simu

Reptilia

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
823
788
Wadau habari za mchana,,mimi sina maneno mengi sana zaidi nataka kufaham matumizi ya black list kwenye simu.. Kuna jamaa yangu anadai kuwa ananitumia text lakini mimi sizioni yeye anasema ujumbe unapokelewa lakini kwangu sioni meseji yoyote ile anasema hilo tatizo linaonekana kwenye namba yangu tu,,,hivi wakuu hilo nitatizo la mtandao au ndio hiyo BLACK LIST msaada hapo wakuu tafadhali...
 
Wadau habari za mchana,,mimi sina maneno mengi sana zaidi nataka kufaham matumizi ya black list kwenye simu.. Kuna jamaa yangu anadai kuwa ananitumia text lakini mimi sizioni yeye anasema ujumbe unapokelewa lakini kwangu sioni meseji yoyote ile anasema hilo tatizo linaonekana kwenye namba yangu tu,,,hivi wakuu hilo nitatizo la mtandao au ndio hiyo BLACK LIST msaada hapo wakuu tafadhali..
 
Wadau habari za mchana,,mimi sina maneno mengi sana zaidi nataka kufaham matumizi ya black list kwenye simu.. Kuna jamaa yangu anadai kuwa ananitumia text lakini mimi sizioni yeye anasema ujumbe unapokelewa lakini kwangu sioni meseji yoyote ile anasema hilo tatizo linaonekana kwenye namba yangu tu,,,hivi wakuu hilo nitatizo la mtandao au ndio hiyo BLACK LIST msaada hapo wakuu tafadhali...
Kwanini asotumie WhatsApp
 
duh maana hakuna anayefahamu kuhusu blacklist kabsa doh basi hii ni kali
 
Mi pia sijui,,,natamani watu kuwablack list ila sijui labda kama simu ninayotumia ndo shida
 
Mkuuu hio blacklist ipo kwaajili ya phone call tu na sio sms hilo litakua tatizo la mtandao hivyo ndo ninavyojua mimi.
 
Hahahaha blacklist Kama neno lenyewe lilivyo, Kama una Demu hutaki akupigie muda Fulani au text zake basi unamzuia - blacklist.

Kwa Techno kuna sehemu ina both Black list na Whitelist, White list Unataka Akina nanihii na ndugu zako tu ndio wakupate, wengine wote wasikupate. That's all
 
Back
Top Bottom