G gwego1 Senior Member Jul 28, 2023 147 521 Aug 29, 2023 #1 Wakuu kwema? Mwenye kufahamu/Matumizi ya hii dawa naomba msaada. Nawasilisha. Wako Mtiifu, Gwego.
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Jul 27, 2017 7,935 13,452 Aug 29, 2023 #2 Sema tu nauza hii dawa, utapata wateja sio hadi ujizungushe hivi Mkuu