Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....
muacheni aendelee kufanya show off kwa mabebe 😎😎Simu yako mwenyewe lakini bado ikutese.
Kisa uonekane unatumia IPhone 😁😁😁😁
Show off na Iphone 6🤣muacheni aendelee kufanya show off kwa mabebe 😎😎
mkuu ulitakiwa mpak awe na iPhone 11 duu 🤔🤔🤔Show off na Iphone 6🤣
Atakuwa ni mpuuzi
At least 8mkuu ulitakiwa mpak awe na iPhone 11 duu 🤔🤔🤔
kisa nawewe ndio unayo 8At least 8

.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aiseeekisa nawewe ndio unayo 8.
sema tu ukweli iphone iliyopo ni 11 hizi zingine ni za hapa na pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....