Msaada Namna ya kuweka nyimbo ktk Iphone 6s

Msaada Namna ya kuweka nyimbo ktk Iphone 6s

Kama una PC download iTunes ni rahisi sana utakuwa unatoa nyimbo kwenye PC kwenda kwenye simu au download Xender halafu tafuta mtu mwenye Android akutumie, hapo utaweza ku-play nyimbo katika app ya Xender ukiwa offline.
 
Back
Top Bottom