Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....
muacheni aendelee kufanya show off kwa mabebe 😎😎Simu yako mwenyewe lakini bado ikutese.
Kisa uonekane unatumia IPhone 😁😁😁😁
Show off na Iphone 6🤣muacheni aendelee kufanya show off kwa mabebe 😎😎
mkuu ulitakiwa mpak awe na iPhone 11 duu 🤔🤔🤔Show off na Iphone 6🤣
Atakuwa ni mpuuzi
At least 8mkuu ulitakiwa mpak awe na iPhone 11 duu 🤔🤔🤔
kisa nawewe ndio unayo 8[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38].At least 8
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aiseeekisa nawewe ndio unayo 8[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38].
sema tu ukweli iphone iliyopo ni 11 hizi zingine ni za hapa na pale[emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....