Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,106
- 38,723
habarini za leo,samahan nilikua naomba kuelimishwa jinsi ya kutumia whatsup kwenye sim yangu. kwa wakati huu naweza kutuma na kupokea ujumbe na picha,ila ikija video haifungui. laki nitawezaje kuiweka picha yangu kwenye akaunt yangu? natumia sim aina ya X-TIGI 518. natanguliza shukrani.