Nkanaga Huo ni mfano tu. Kwa maelezo zaidi muone service provider wako.
Aksante mkuu Dingswayo, nimekusoma vema, tatizo nipo wilayani huku Lushoto, hata VODA-SHOP hakuna ndo maana nikakimbilia kwa wakali wa huku. Niki-fail kabisa ntsafiri hadi mkoani kukutana na huyo service provider wangu.
automatic lumia zinajiconect na internet ushajaribu kubrowse?
ukishindwa fata step hizi
1.nenda setting
2. shuka chini hadi mobile networks
3. hakikisha mobile networks ina tick
4. tap create apn
5. kwenye apn andika internet
6. click save
hapo simu yako itakua tayari
kwa kuongezea tu nadhan huko 3g bado inabidi uende store ukadownload nokia express browser ambayo ni kama opera mini
chief nami nmepata tattzo kama hlo nmejarbu kufuata maelekezo yako nmeshindwa