Msaada namna ya kutoka kwenye huu uhusiano.

Msaada namna ya kutoka kwenye huu uhusiano.

Jaribu kufikiria kama wewe ungekuwa mwanamke mumeo akawa anafanya madudu hayo, ungejisikieje? Hata shetani atakukataa!
 
kama mumeo ni muhuni na hajiheshimu wala kuheshimu hisia zako atatembea na hata housegirl ya nini kuwa na mtu wa hivyo kuzuia ndugu yako kutokuja kwako haimaanishi hatoweza kumfata huko alipo
Mungu wangu!!! Sitaruhusu mdogo wangu aje kwangu!!
 
Mimi nimeoa na nna mtoto 1,
Nnko kwenye uhusiano wa siri kwa muda wa miaka 2, kuna ndugu wa mke wangu alikuja hapa nyumbani kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo,
lakini kwa namna moja au nyingine tukaingia ktk mahusiano ya kimapenzi.
Kiukweli huyu binti ni mzuri sana yaani ni mweupe pee,
kajazia halafu shape na figure ya ukweli ipo.
; kwa mwanaume yeyote wa ukweli lazima atikisike hapa.
Nnlijitahidi kuwa naye kwa siri sana yaani kuwa makini kutompa mimba,
pia kutokamatwa.
Nnliaamini kuwa akimaliza masomo akaondoka hapa home ntaweza msahau,
lakini imekuwa kinyume,.kwani mwishoni tulipeana penzi zito na hivyo kuongeza hali ya kuhitajiana,
yaani nnligharimika sana kiasi cha sh milion 3 kwa mavazi na mahitaji yake mengine,
plus kumpiga sex ya maana,
kwa sasa yuko kwao,
ila nna wivu naye sana,
yaani nataka arudi hapa home lakini malengo yangu ni kuachana na huu uhusiano.
Huyu mtoto kanisaidia kutulia kabisa,yaan mtaan sikuwa na skendo yoyote,
tofauti na mwanzo ambapo ukimega binti wa kitaa lazima anukishe hadi wife anazipata,
hapa nlisettle kwa kweli maana nnlikuwa napata nafac nzuri ya kuwa naye hapahapa home,
nnlipata game tamu sana kwa huyu mtoto,
pia naye nnlihakikisha nimemlegeza vya kutosha naye alinikubali sana,
ingawa hapo awali nnliwahi kubamba mawasiliano yake na jamaa 2,
kiukweli nlireact very aggresive sana maana mmoja nnlihakikisha amehama mji,
na mmoja nnlimktia mawasiliano kabisa,
hivyo nikawa nimewasambaratisha kabisa na mimi kuendelea kula mtoto peke yangu,
kwa tukio hilo mrs wangu alibaki hajielewi kabisa why ning'ake kiasi hicho kwa huyo mtoto wakati hapohapo kulikuwa na mpwa wangu age sawa na huyu mtoto, anamegwa kiwaziwazi hadi anachelewa sikani lakini sijali .
Kiukweli naandika hapa nikiwa bar kwani huyu mtoto kaenda kwao na kila nkipiga simu yake iko bize jambo ambalo nahisi ananichakachua,
naumia sana jamani,mapenzi mabaya sana.

Ntarudi kuendeleza hii real story.
Nifanyeje tafadhali.
Pombe zikiisha urudi kuomba ushauri upya
 
Ushauri gani unaotaka?
Mie nakushauri mfuate huko huko kwao mkaendeleze penzi lenu, ala!
 
Tubu na uache hiyo dhambi, usimsaliti mke wako tena na ndugu yake...
Hembu nenda utubu, usirudie tena uchafu huo....
 
Dah mie huwa nashindwa kabisa kuelewa. Sasaaa dah... ndio wale wale wanakutongoza akisema nampenda sana mke wangu na watoto' huku anakutongoza wewe.... hivi ni kutokujielewa au ndo pepo la ngono limetawala? Eh hebu mie nipeleke mvi zangu kiotani, umbeya utaniua
 
Hata ushenzi hufai sojui nikutukane vp ili ujue kwamba ulichofanya ni unyama huyu nimembamba no vampires no one.
 
Dhambi inafunga,ni kifungo!
ni pale tu unapojiachilia na kutubu kwa Mungu,ataweka roho ya uzima ndani yako na kukuweka huru.
Itubu dhambi yako,na uombe msaada kwa Mungu!
 
wewe unatengeneza kwa huyo cheupe ,na mkeo huko analiwa kwa sana ndio maana hata hajali,JIULIZE TUKO WANGAPI??
 
Mimi nadhani njia nzuri ni kumueleza mkeo hapo utafanikiwa hiyo azma yako ya kumuacha na pengine ukapata na bonus ya kukimbiwa na mke....... jamii nadhani kama inapotoea hivi kwani imekuwa kawaida wezi kutafuta jutakaso na heshima kama viongozi wa dini........ pole brother piga moyo konde achana nae maana heri nusu shari kuliko shari kamili

Back
Top Bottom