Msaada namna ya kutoka kwenye huu uhusiano.

Msaada namna ya kutoka kwenye huu uhusiano.

sidhani,
ila huyu mtoto kanisaidia kutulia na kutosumbuka na mipango ya kando,
yaani mi na kazi then kimyakimya sikani,
naonekana mwadilifu sana kwa nje,
ingawa kuna wanaonihisia na kumuuliza mtoto kama nshaomba,

Kuwa na mahusiano na shemejiyo huo ni mpango wa kando.Alafu you are commiting adultery,ili uwe salama mwendee mkeo umweleze wazi wazi,na kama haitoshi umeona huwezi kumwacha huyo shemejiyo ni bora mama watoto wako akajua anampiga mdogo wake.Heshimu ndoa yako because it's a gift from God.Na ukiendelea Mungu atakuaibisha.
 
Mungu wangu!!! Sitaruhusu mdogo wangu aje kwangu!!

Kumleta ndugu yako asiyejielewa kwako ni kujitafutia matatizo tu. Watoto wa kike wengi huwa hawajielewi. Wanajisahau kwamba shemeji yako sio ndugu yako. Yakupasa ukae mbali nae. Hata humu wamo wengi tu walioliwa na shemeji zao.
 
Jamani we huoni aibu huwezi muacha kwani mmezaliwa wote si mmekutana ukubwani tu embu acha mara moja
 
tupia picha yake na ya mkeo alafu ntakushauri uoewe yupi na uache yupi
 
Kumleta ndugu yako asiyejielewa kwako ni kujitafutia matatizo tu. Watoto wa kike wengi huwa hawajielewi. Wanajisahau kwamba shemeji yako sio ndugu yako. Yakupasa ukae mbali nae. Hata humu wamo wengi tu walioliwa na shemeji zao.

teh..teh..teh. Who the cap fit? let them wear it.
 
Jamaa wanavyokoment kwa hasira utadhan wao wasafi! Jamaa kasema anataka ushauri wa kuacha jamani sio kuendelea!!
 
----- nn mara nina wivu mara nataka arudi mara nataka niachane nae mbwembwe nyingi huna lolote umalaya tu! Ngoja mkeo akufume ndo utajua jinsi ya kuachana naye km hawatakuacha wote thubutu yako!
Mimi nimeoa na nna mtoto 1,
Nnko kwenye uhusiano wa siri kwa muda wa miaka 2, kuna ndugu wa mke wangu alikuja hapa nyumbani kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo,
lakini kwa namna moja au nyingine tukaingia ktk mahusiano ya kimapenzi.
Kiukweli huyu binti ni mzuri sana yaani ni mweupe pee,
kajazia halafu shape na figure ya ukweli ipo.
; kwa mwanaume yeyote wa ukweli lazima atikisike hapa.
Nnlijitahidi kuwa naye kwa siri sana yaani kuwa makini kutompa mimba,
pia kutokamatwa.
Nnliaamini kuwa akimaliza masomo akaondoka hapa home ntaweza msahau,
lakini imekuwa kinyume,.kwani mwishoni tulipeana penzi zito na hivyo kuongeza hali ya kuhitajiana,
yaani nnligharimika sana kiasi cha sh milion 3 kwa mavazi na mahitaji yake mengine,
plus kumpiga sex ya maana,
kwa sasa yuko kwao,
ila nna wivu naye sana,
yaani nataka arudi hapa home lakini malengo yangu ni kuachana na huu uhusiano.
Huyu mtoto kanisaidia kutulia kabisa,yaan mtaan sikuwa na skendo yoyote,
tofauti na mwanzo ambapo ukimega binti wa kitaa lazima anukishe hadi wife anazipata,
hapa nlisettle kwa kweli maana nnlikuwa napata nafac nzuri ya kuwa naye hapahapa home,
nnlipata game tamu sana kwa huyu mtoto,
pia naye nnlihakikisha nimemlegeza vya kutosha naye alinikubali sana,
ingawa hapo awali nnliwahi kubamba mawasiliano yake na jamaa 2,
kiukweli nlireact very aggresive sana maana mmoja nnlihakikisha amehama mji,
na mmoja nnlimktia mawasiliano kabisa,
hivyo nikawa nimewasambaratisha kabisa na mimi kuendelea kula mtoto peke yangu,
kwa tukio hilo mrs wangu alibaki hajielewi kabisa why ning'ake kiasi hicho kwa huyo mtoto wakati hapohapo kulikuwa na mpwa wangu age sawa na huyu mtoto, anamegwa kiwaziwazi hadi anachelewa sikani lakini sijali .
Kiukweli naandika hapa nikiwa bar kwani huyu mtoto kaenda kwao na kila nkipiga simu yake iko bize jambo ambalo nahisi ananichakachua,
naumia sana jamani,mapenzi mabaya sana.

Ntarudi kuendeleza hii real story.
Nifanyeje tafadhali.
 
.Manina zako. Hivi siku hizi uzinzi imekuwa fahari eenh? Si umlegeze mkeo? .Manina zako.
 
.Manina zako. Hivi siku hizi uzinzi imekuwa fahari eenh? Si umlegeze mkeo? .Manina zako.

soory kwa kuwa muwazi.
Ila kuwa na huyu mtoto imenisaidia sana kuliko hasara.
 
Nyie ndio mnaokulaga hadi watoto wenu na mamazenu haki ya nani!!

halafu mwenyewe anaona sifaaa sijaona akisifia utamu wa mkewe jamani hizi ndoa Mungu ndie anajua
 
Back
Top Bottom