Kumbe unaomba ushauri wa kuachana naye ili urudi kwenye hasara?soory kwa kuwa muwazi.
Ila kuwa na huyu mtoto imenisaidia sana kuliko hasara.
Mimi nimeoa na nna mtoto 1,
Nnko kwenye uhusiano wa siri kwa muda wa miaka 2, kuna ndugu wa mke wangu alikuja hapa nyumbani kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo,
lakini kwa namna moja au nyingine tukaingia ktk mahusiano ya kimapenzi.
Kiukweli huyu binti ni mzuri sana yaani ni mweupe pee,
kajazia halafu shape na figure ya ukweli ipo.
; kwa mwanaume yeyote wa ukweli lazima atikisike hapa.
Nnlijitahidi kuwa naye kwa siri sana yaani kuwa makini kutompa mimba,
pia kutokamatwa.
Nnliaamini kuwa akimaliza masomo akaondoka hapa home ntaweza msahau,
lakini imekuwa kinyume,.kwani mwishoni tulipeana penzi zito na hivyo kuongeza hali ya kuhitajiana,
yaani nnligharimika sana kiasi cha sh milion 3 kwa mavazi na mahitaji yake mengine,
plus kumpiga sex ya maana,
kwa sasa yuko kwao,
ila nna wivu naye sana,
yaani nataka arudi hapa home lakini malengo yangu ni kuachana na huu uhusiano.
Huyu mtoto kanisaidia kutulia kabisa,yaan mtaan sikuwa na skendo yoyote,
tofauti na mwanzo ambapo ukimega binti wa kitaa lazima anukishe hadi wife anazipata,
hapa nlisettle kwa kweli maana nnlikuwa napata nafac nzuri ya kuwa naye hapahapa home,
nnlipata game tamu sana kwa huyu mtoto,
pia naye nnlihakikisha nimemlegeza vya kutosha naye alinikubali sana,
ingawa hapo awali nnliwahi kubamba mawasiliano yake na jamaa 2,
kiukweli nlireact very aggresive sana maana mmoja nnlihakikisha amehama mji,
na mmoja nnlimktia mawasiliano kabisa,
hivyo nikawa nimewasambaratisha kabisa na mimi kuendelea kula mtoto peke yangu,
kwa tukio hilo mrs wangu alibaki hajielewi kabisa why ning'ake kiasi hicho kwa huyo mtoto wakati hapohapo kulikuwa na mpwa wangu age sawa na huyu mtoto, anamegwa kiwaziwazi hadi anachelewa sikani lakini sijali .
Kiukweli naandika hapa nikiwa bar kwani huyu mtoto kaenda kwao na kila nkipiga simu yake iko bize jambo ambalo nahisi ananichakachua,
naumia sana jamani,mapenzi mabaya sana.
Ntarudi kuendeleza hii real story.
Nifanyeje tafadhali.

Wewe unafaa kuishi na huyo bazazi mwenzio kama ameweza kutembea na mme wa ndugu yake mnaendana!mrudishe hapo kwenu ili mkeo ajue ndoa ife umuoe baradhuli mwenzio!hovyoooooo!mxiuuuuuuuu!
mapenzi ya wizi hua ni matamu sn, ni sawa sawa na usingizi wa kwenye dawati na ule wa kwneye kitanda, ule wa dawati yaan hua ni mtamu na hauishi utanesa nesa hapo hata masaa 5 lkn ukienda kitandani tu basi saa limoja usingizi umeisha. hapo ni Psychology yako tu ndo inayokupelekea hivo. kwanza muogope Mungu wako na ujue ipo siku utakufa na uache uzinzi. pili acha kuangalia Porn movies. tatu muheshimu mkeo na uvute taswira km ni yeye ndo anaekufanyia hayo unayoyafanya ungejiskiaje. You are the bad World, but to the Bad World actually you are so so Good. Kila la Heri[/QUOTE
so nimuoe kabisa,
niachane na uzinzi?
halafu mwenyewe anaona sifaaa sijaona akisifia utamu wa mkewe jamani hizi ndoa Mungu ndie anajua
What ana attitude..khah..Mhh nikiwa na kwangu marufuku ndugu kupiga kambi ...km ni hela watatumiwa popote walipo
natamani mkeo atembee na laka yako tena amfikisheee
mapenzi ya wizi hua ni matamu sn, ni sawa sawa na usingizi wa kwenye dawati na ule wa kwneye kitanda, ule wa dawati yaan hua ni mtamu na hauishi utanesa nesa hapo hata masaa 5 lkn ukienda kitandani tu basi saa limoja usingizi umeisha. hapo ni Psychology yako tu ndo inayokupelekea hivo. kwanza muogope Mungu wako na ujue ipo siku utakufa na uache uzinzi. pili acha kuangalia Porn movies. tatu muheshimu mkeo na uvute taswira km ni yeye ndo anaekufanyia hayo unayoyafanya ungejiskiaje. You are the bad World, but to the Bad World actually you are so so Good. Kila la Heri[/QUOTE
so nimuoe kabisa,
niachane na uzinzi?
kama dini yako inaruhusu, na hujali kuumia kwa mkeo OA tu hilo jibu labda uulize swali.
..kuna jamaa kama wawili nnawafahamu,
wameoa mtu na mdogo wake na wanaishi pamoja,
kwani kuna ubaya gani nkimlelea huyu nduguye,
..
..Nimekuuliza huyu mkeo na mdogo wake asili yao ni wapi..? au huyo mdogo wake yuko mkoa gani kwa sasa...ww c upo Dar I hope...na alikaa kwako muda gani akiwa anafanya masomo yake...nikushauri vizuri zaidi...