Mimi nimeoa na nna mtoto 1,
Nnko kwenye uhusiano wa siri kwa muda wa miaka 2, kuna ndugu wa mke wangu alikuja hapa nyumbani kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo,
lakini kwa namna moja au nyingine tukaingia ktk mahusiano ya kimapenzi.
Kiukweli huyu binti ni mzuri sana yaani ni mweupe pee,
kajazia halafu shape na figure ya ukweli ipo.
; kwa mwanaume yeyote wa ukweli lazima atikisike hapa.
Nnlijitahidi kuwa naye kwa siri sana yaani kuwa makini kutompa mimba,
pia kutokamatwa.
Nnliaamini kuwa akimaliza masomo akaondoka hapa home ntaweza msahau,
lakini imekuwa kinyume,.kwani mwishoni tulipeana penzi zito na hivyo kuongeza hali ya kuhitajiana,
yaani nnligharimika sana kiasi cha sh milion 3 kwa mavazi na mahitaji yake mengine,
plus kumpiga sex ya maana,
kwa sasa yuko kwao,
ila nna wivu naye sana,
yaani nataka arudi hapa home lakini malengo yangu ni kuachana na huu uhusiano.
Nifanyeje tafadhali.