Msaada: Namna ya kuondoa channel ya ZBC kwenye DSTV,

Msaada: Namna ya kuondoa channel ya ZBC kwenye DSTV,

Hii chaneli ni ya kishamba afrika nzima bora TBC1, ina vipindi havina mvuto, watangazaji wa kike nao kutwa ni mahijabu tu. udini ni mwingi sana ZBC. Chaneli haina mvuto kutokana na uwepo wa vibaraghashia na hijabu nyingi utadhani ni mahasin tv
Usiangalie. Period.
 
Kuna ZBC na TBC na mimi ningeweza ningezitoa DSTV
 
Kwenye receiver yako chagua favourite channels ambazo unazitazama mara kwa mara ili ukiwasha TV yako nenda kwenye Favorite channels ambazo hiyo itakuwa haipo
 
Wakuu kwa jinsi ninavyoijua Jamii Forums nina hakika humu siwezi kukosa wataalam wa hizi kazi,, maana nimejaribu kuwapigia Dstv hawajaweza kunisaidia,,

Sababu ya kuiondoa : kwakweli nisiwe mnafiki nachukia chochote kutoka Zanzibar

Nasubiri mrejesho wakuu,,
Tatizo nini Mkuu?
 
Back
Top Bottom