Msaada namna ya kulinda wazo langu la biashara

kengele maziwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2015
424
628
Kama title inavyojieleza hapo juu,

Wakuu nina idea ambayo nahitaji ku-work on it na ninampango wa kuwashirikisha baadhi ya organisation na benki as shareholder but changamoto ninayoiona kubwa ni usalama wa idea yangu.

Je, ninailindaje watu wengine wasiichukue au kuniibia?

Naombeni msaada wenu.

Nawasilisha.
 
hiyo idea wewe ndio wa kwanza duniani kuitoa?
 
Kwa roho hiyo utafanikiwa kweli?
Basi usimwambie mtu yeyote, kaa nayo peke yako siri ni ya mtu mmoja
 
Nafikiri yuko,kulinda wazo la biashara sio uchoyo. Hii haina tofauti na wasanii wanapokuwa na hati miliki katika utunzi wa maishairi au nyimbo zao.Kuna tabia za baadhi ya taasisi ukiwapelekea wazo la biashara(proposal) wana reject then baadae wanachukua hiyo idea yako na kui implement kwa faida yao bila kumuhusisha mleta wazo.Ni vizuri kuwa na haki miliki hata kwa ideas tunazokuwa nazo
 
Nazani hilo wazo lako la biashara waeza kwenda lisajiri BRELA litambulike kisheria kama lako pekee
Waeza pitia humu www.brela.go.tz kucheki hatua za kufata
 
Uza hilo wazo ata kwa ela ndogo upate mtaji hata wa kuuza yeboyebo mjini
 
Nashkuru kwa maelezo yako mazuri kiongozi
 
Kwa roho hiyo utafanikiwa kweli?
Basi usimwambie mtu yeyote, kaa nayo peke yako siri ni ya mtu mmoja
Teachee huwa nakuaminia kumbe uko empty..
Kuna sharia ya intellectual properties, nenda nadhani cosota wako eda estate..! Utapata kila kitu pale ila pia brela wanasaidia kusajili businesses name.
 
R
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…