Msaada namna ya kulinda wazo langu la biashara

kengele maziwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2015
424
626
Kama title inavyojieleza hapo juu,

Wakuu nina idea ambayo nahitaji ku-work on it na ninampango wa kuwashirikisha baadhi ya organisation na benki as shareholder but changamoto ninayoiona kubwa ni usalama wa idea yangu.

Je, ninailindaje watu wengine wasiichukue au kuniibia?

Naombeni msaada wenu.

Nawasilisha.
 
Kama title inavyojieleza hapo juu, wakuu nina idea ambayo nahitaji ku-work on it na ninampango Wa kuwashirikisha baadhi ya organisation na Benki as shareholder but changamoto ninayoiona kubwa ni usalama Wa idea yangu. Je? Ninailindaje watu wengine wasiichukue au kuniibia.
Nawasilisha naombeni msaada wenu.
hiyo idea wewe ndio wa kwanza duniani kuitoa?
 
Kwa roho hiyo utafanikiwa kweli?
Basi usimwambie mtu yeyote, kaa nayo peke yako siri ni ya mtu mmoja
 
Nafikiri yuko,kulinda wazo la biashara sio uchoyo. Hii haina tofauti na wasanii wanapokuwa na hati miliki katika utunzi wa maishairi au nyimbo zao.Kuna tabia za baadhi ya taasisi ukiwapelekea wazo la biashara(proposal) wana reject then baadae wanachukua hiyo idea yako na kui implement kwa faida yao bila kumuhusisha mleta wazo.Ni vizuri kuwa na haki miliki hata kwa ideas tunazokuwa nazo
 
Nazani hilo wazo lako la biashara waeza kwenda lisajiri BRELA litambulike kisheria kama lako pekee
Registration of a patent in Tanzania is done through filing form No. P.2 accompanied by a patent document in triplicate and submitted to the Registrar of Patents with Business Registrations and Licensing Agency (BRELA).
An Applicant for patent rights may be a natural or legal person who shall file such an application with the Registrar of Patents with BRELA.
It is important to know that, in the registration of patent in Tanzania, the patent document has to contain; the title for an invention, the general description of an invention, the claim(s), an abstract, and technical drawings (if any).
When talking of registration of patents in Tanzania one must think of the necessary criteria required in the patent grant. These criteria are; novelty that is an invention must be new for it to be patentable, invention step which connotes that an invention is patentable if is beyond obvious, and industrial applicability which implies that an invention shall be capable of being industrially workable to be patented.
Sections 18 to 30 of The Patents (Registration) Act, Cap 217 provides for grant of patent in Tanzania. Every application for grant of a patent in Tanzania shall be made to the Registrar and shall contain; a request which shall state the name of and other prescribed data concerning the applicant, the inventor and the agent if any, and the title of the invention, description, one or more claims, one or more drawings (where necessary), and an abstract
Waeza pitia humu www.brela.go.tz kucheki hatua za kufata
 
Uza hilo wazo ata kwa ela ndogo upate mtaji hata wa kuuza yeboyebo mjini
 
Nafikiri yuko,kulinda wazo la biashara sio uchoyo. Hii haina tofauti na wasanii wanapokuwa na hati miliki katika utunzi wa maishairi au nyimbo zao.Kuna tabia za baadhi ya taasisi ukiwapelekea wazo la biashara(proposal) wana reject then baadae wanachukua hiyo idea yako na kui implement kwa faida yao bila kumuhusisha mleta wazo.Ni vizuri kuwa na haki miliki hata kwa ideas tunazokuwa nazo
Nashkuru kwa maelezo yako mazuri kiongozi
 
Kwa roho hiyo utafanikiwa kweli?
Basi usimwambie mtu yeyote, kaa nayo peke yako siri ni ya mtu mmoja
Teachee huwa nakuaminia kumbe uko empty.. Kuna sharia ya intellectual properties, nenda nadhani cosota wako eda estate..! Utapata kila kitu pale ila pia brela wanasaidia kusajili businesses name.
 
Kama title inavyojieleza hapo juu,

Wakuu nina idea ambayo nahitaji ku-work on it na ninampango wa kuwashirikisha baadhi ya organisation na benki as shareholder but changamoto ninayoiona kubwa ni usalama wa idea yangu.

Je, ninailindaje watu wengine wasiichukue au kuniibia?

Naombeni msaada wenu.

Nawasilisha.
R
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom