Msaada: Namna ya kujiondoa katika vifungo vya uchawi, husda na nuksi bila ya kwenda kwa waganga na wachungani/mashehe feki

Hii nakupa ni dawa ambayo imeanza kutumika miaka na miaka Karne na Karne na hata baadhi ya waganga wachungaji wanatumia hii ila ina matokeo makubwa ndani ya wiki Moja mpaka wiki tatu yaani siku 21

Gharama yake ni ndogo sana na utaifanya kila siku kwa siku 21.
Ipo hivi tafuta chumvi ya mawe(ndio usishangae chumvi ya mawe)

Oga kila siku wakati wa kuamka na wakati wa Kulala kila siku kwa siku 21 Nina uhakika kama ulikuwa na vifungo vya kishirikina vitaondoka mambo yako yatafunguka ajira utapata nk

Jinsi ya kuoga unaweka kwenye Maji alafu baada ya kuoga na sabuni ndio utatumia sas.

Dalili utakazoziona mwanzo ni kuamka umechoka sana kupata usingizi mzito... kuota ndoto za ajabu nk

Nimemaliza naenda shamba saizi
 
Wewe ni Dini gani?
Mkuu, kichwa cha habari kina eleza yeye hautaki kanisani, mashehe, Wala waganga.

Anataka mbinu za kuondoka CHUKI na husda...

NB. Njia nazo jua Mimi ni zifwatazo 1. CHUMVI YA MAWE..hii husaidia sana kama jamaa aki utumia vyema.

2. KIPANDE CHA MKAA, hii mbinu husaidia sanaa..

3. Mafuta ya mzaituni( mafuta ya upako)

4. Mfupa wa nguruwe walau kipande kidogo au mafuta yake una jipaka

Kwa uchache sanaaa

Naomba kuwasilisha
 
Ya mkaa imekaaje
 
Naomba kuwasi

Naomba kuwasilish

Asante Mkuu kwa ufafanuzi!Mimi nilikuwa muhanga kama yeye.Nilitumia njia mojawapo ya hizo Tena na wife kabisa,Mambo yalizidi kuwa mabaya zaidi.
 
Karibuni ndugu zangu maana hali sio hali
1. Nguvu ya uponyaji unayo mwengewe
2. Hayo mambo sometimes ni mind created situations yasiyo na uhalisia wowote
3. Kwenye maisha yetu ni lazima tupitie vipindi vya msoto ili kuweza kujifunza pia
4. Sometimes kinga za kiroho hupata changamoto! Nimeona hapo juu kuna mdau kashauri utumie chumvi nami nakazia hapo
 
Back
Top Bottom